Kuna taarifa kuwa katika ajali hiyo pia amefariki Wakili wa kujitegemea ambaye pia ni mwalimu wa Business Law wa Chuo Kikuu cha St. John's hapo Dodoma Bwana Joshua Oguda, mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali
Matei pub ya wap na Matei yup maelezo ya kina tafadhali
Huyo hajafariki ila hali yake ni mbaya sana, Mungu amnusuru.
kwa taarifa nilizopata toka mtu wa karibu aliyekuwepo naye amefariki baada ya hali yake kuwa mbaya sana.RIP
Huyo hajafariki ila hali yake ni mbaya sana, Mungu amnusuru.
Daaah!, masikini Mheshimiwa Wakili Bwana Oguda, huyu ndugu alikuwa ana dharau na mnyanyasaji mkubwa wa wanafunzi pale St. John's University hasa akina dada wamenyanyasika sana kijinsia na huyu Mungu mtu!.
Hata hivo watanzania hatuna tabia wala tamaduni ya kufurahia matatizo ya binadamu wenzetu.
Nilipokuwa Rais wa Serikali ya wanafunzi hapo chuoni ndugu Oguda ulisimama kidete kutengeneza fitna ili nifukuzwe Chuo eti kwa kuwa nilipinga sana tabia yako ya kuwaonea wanafunzi hasa wa kike na mpaka Israel anainyemelea roho yako leo nina kesi na Chuo hicho ambapo wewe kwa kiherehere chako ndo wakili unaesaini viapo vya chuo!, natamani upone haraka ili ushuhudie nitakavo wahenyesha hapo Mahakama Kuu ya Dodoma.
Mungu akunusuru Wakili Msomi Joshua Oguda, nimeguswa na kusikitishwa sana kama binadamu kwa kweli nakuombea upone haraka lakini ujue dunia ni mapito mheshimiwa hivo si uungwana kuharibu ndoto za watoto wa watanzania wenzio!
Correction.....walikua wametoka moro kumzika mshmshkaji wao Rashidi Nyau ambaye na yeye alipata ajali akitokea moro kurudi domMarehemu na wenzake walkua wanatoka Morogoro kwny party flan iv na walkua wamelewa vizur tuu,na Matei lounge mwenyew ndo alkua anadrive kw mbwembwe kibao huku akishndana na fuso...ulkua mwendo hatar sana kias kwmb gari ikapnduka na fuso likaj kw juu,..huyo wakil amefarik masaa machach baad ya mwnzie kupumzshw motuary ya general hospital dom..
Marehemu na wenzake walkua wanatoka Morogoro kwny party flan iv na walkua wamelewa vizur tuu,na Matei lounge mwenyew ndo alkua anadrive kw mbwembwe kibao huku akishndana na fuso...ulkua mwendo hatar sana kias kwmb gari ikapnduka na fuso likaj kw juu,..huyo wakil amefarik masaa machach baad ya mwnzie kupumzshw motuary ya general hospital dom...
Siyo maneno yangu mkuu.
But imeandikwa ktk biblia!
Marehemu na wenzake walkua wanatoka Morogoro kwny party flan iv na walkua wamelewa vizur tuu,na Matei lounge mwenyew ndo alkua anadrive kw mbwembwe kibao huku akishndana na fuso...ulkua mwendo hatar sana kias kwmb gari ikapnduka na fuso likaj kw juu,..huyo wakil amefarik masaa machach baad ya mwnzie kupumzshw motuary ya general hospital dom...
My God!, R.I.P Advocate Joshua Oguda!!