Mfanyabiashara Matei apata ajali na kufariki

Mfanyabiashara Matei apata ajali na kufariki

Duhh Poleni wafiwa ila Tz ajali zimezidi. Vijana acheni kulewa/kunywa na kudrive. Inauma sana umejinyima au umekopa ujikwamue na adha ya usafiri kumbe unanunua uwahishe mauti yako. Ajali haina kinga sawa ila kwa kuwa makini unapunguza probability
 
Kwani walienda kufanya nini huko Morogoro kwa pamoja? Na weekend hii itakuwa tu mapombe na ushabiki wa ujana bila maono vimechangia pia. Wapumzike kwa amani, kila kifo kina sababu lakini vya ghafla namna hii vitufunze utayari.
WaliendabMsibani
 
Ajali hii imenikumbusha vifo Kongwa road vya mme aliyeacha mkewe mjini Dom na kuchepuka na mke wa mtu kustarehe Mbande !
 
nilikuwepo pale pub kama wiki tatu zilizopita,nilikuwa dom kwenye semina,luna kabaamedi kamoja karefu kembamba,..nilikapenda bure kwa huduma yake!

Sema vizuri Huduma gan uliipenda maana viumbe hawa wanaweza kila huduma rip mmiliki
 
Wapumzike kwa amani,kwa nini watu hatujifunzi? umelewa then unaendesha gari kwa speed,walistahili kifo na si kwamba eti muda wao ulikuwa umefika,no ni vifo vya kujitakia,dont drink and drive.
 
Usijifanye zuzu we kenge.
Nimekwambia mm nimenukuu hilo andiko.
Well,alikua kalewa chakali.

Usikariri Biblia na kuiquote vibaya na kuanza kuporomosha matusi, umeulizwa swali very simple and clear unakimbilia kuporomosha matusi. Biblia gani inayosema kulewa ni dhambi? Poor you!
 
Marehemu na wenzake walikuwa wanatoka Morogoro kwenye party flan hivi na walikua wamelewa vizur tuu, na Matei Lounge mwenyewe ndiyo alikuwa anadrive kwa mbwembwe huku akishndana na fuso...

Inasemekana ulikuwa ni mwendo hatari kiasi kwamba gari ilipinduka na Fuso likaja kwa juu. Mmoja wa abiria alikuwa ni Wakili Joshua Oguda ambaye amefariki masaa machache baada ya mwenzie kupumzishwa motuary ya General Hospital Dodoma.

Sidhani kama una taarifa sahihi, na ukiwa huna vyanzo vya uhakika epuka sana kutoa taarifa!!!!

R.I.P marehemu!!!!
 
May their souls rest in peace, Eternal Father shine upon them thy light and give them everlasting life. Gloria in Exelsis Deo.
 
Usikariri Biblia na kuiquote vibaya na kuanza kuporomosha matusi, umeulizwa swali very simple and clear unakimbilia kuporomosha matusi. Biblia gani inayosema kulewa ni dhambi? Poor you!
Ahahahaaaaa.
Unatetea mipombe?????????
Aya endelea na wewe,soon utakutana na hilo andiko.
 
Siyo maneno yangu mkuu.
But imeandikwa ktk biblia!

NDUGU YANGU UMESEMA UKWELI KABISA. Ni kweli kabisa biblia inasema hivyo.
Na haitabalika. Mshahara wa dhambi ni mauti. Lazima pia tujue yapo mambo ambayo mtu anafanya kwa tamaa zake na mwisho wake ni umauti. Yakobo 1: 14-15 inaeleza vzr kwamba mtu hujaribiwa kwa tamaa yake, na tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi na dhambi ikikomaa huzaa MAUTI.
 
Watu wa Dodoma, tuchunge midomo yetu. Kukurupuka sio kuzuri..
 
Back
Top Bottom