alma gemela
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 842
- 280
Mkuu maneno uloandika tata kidogo... hebu soma upya
Wamepata ajali wakitokea kwenye msiba wa rafiki yao ambaye pia amefariki kwa ajali akienda morogoro
Mkuu maneno uloandika tata kidogo... hebu soma upya
Naonahuu huyu Israel anadili nawafanyabiashara maarufu wa bar kaanza bukoba,Dodoma,dar sijui anamchukua NANI wenyepub kaeni mkao wa kuelelekeanyumbayamilele
Rip!Matei
Huku dar washaondoka wa 3 wamiliki wa bar kubwa kinondoni tena bar zenyewe zinaongozana
Kumbe ulikuwa Raisi wa wanafunzi?
RIP mmiliki wa Matei Pub.
Wamiliki wa bar wengi wanakufa kwa ajali dah!!!! M/mungu atunusuru kwakweli!!!!!
We chizi, badala ya kum-RIP aliyewaleta, wewe una........!!!!!nilikuwepo pale pub kama wiki tatu zilizopita,nilikuwa dom kwenye semina,luna kabaamedi kamoja karefu kembamba,..nilikapenda bure kwa huduma yake!
Vifo vingine Ni kuomba mungu aepushie mbali imagine unakufa huku unazini au unakufa umelewa. Rip wote mliofariki.
Nilikuwa Rais wa SOSJUT, huyu marehemu na wenzie akina Chris, Mtetemela, Kobogo.... Ooh sorry Dobogo na wengineo nimepambana nao sana nikiwatetea wanafunzi kutokana na mabyanyaso yao utafikiri walikuwa hawajui kama kuna kifo na hii dunia ni mapito tu!!.
Mi nasema walaaniwe sana hata hawa waliobaki hapa duniani ikiwezekana nao wafe tu hakyamungu wameharibu future za watoto wengi wa masikini kwa makusudi kwa kuwafelisha walipokuwa wakinyimwa mapenzi, shenzi sana!
We nae tumekuvumilia,, umejipa promo juu tumetulia tu,sasa naona wazd jipaisha tu, ndo keshafarik hvo kamseme kaburin kwake,, afu we uliwezaje kuwa Rais wa wanachuo afu huna staha wala hekim na maneno yako? Kenge shooougaa ww
Nyambaf mkubwa wewe, ni maneno gani haya ya kifedhuli unayazungumza? Na wewe ULAANIWE kwa wizi wa hela zetu za sosjut ukaenda kununua kale ka mark 2 kako mkwecheNilikuwa Rais wa SOSJUT, huyu marehemu na wenzie akina Chris, Mtetemela, Kobogo.... Ooh sorry Dobogo na wengineo nimepambana nao sana nikiwatetea wanafunzi kutokana na mabyanyaso yao utafikiri walikuwa hawajui kama kuna kifo na hii dunia ni mapito tu!!.
Mi nasema walaaniwe sana hata hawa waliobaki hapa duniani ikiwezekana nao wafe tu hakyamungu wameharibu future za watoto wengi wa masikini kwa makusudi kwa kuwafelisha walipokuwa wakinyimwa mapenzi, shenzi sana!
hahahahaaa mkuu Kiboko, nawasiwasi na huyu poyoyo anaejiita rais wa sosjut, huyu rais Chid** alikua mwivi mkubwa wa hela za sosjut! Hili jamaa jinga sana linafurahia kifo cha marehemuWe nae tumekuvumilia,, umejipa promo juu tumetulia tu,sasa naona wazd jipaisha tu, ndo keshafarik hvo kamseme kaburin kwake,, afu we uliwezaje kuwa Rais wa wanachuo afu huna staha wala hekim na maneno yako? Kenge shooougaa ww
kweli kabisa miss strong usemacho ni sahihi, kunako msiba lazma tuweke tofauti zetu kando na kuzikana, huyo mkuu hapo juu kakosa busara kabisa, kwamaneno mepesi ni kwamba kafurahishwa na kifo cha marehemu! Inaonyesha upumbafu wake ni wa hali ya juu sana!Upo sahihi kabisa... ...mtu akifariki tumuache apumzike.
Sio kwenye pati ni msibani mwenzao amefariki kwao moro
Mkuu maneno uloandika tata kidogo... hebu soma upya
Marehemu na wenzake walikuwa wanatoka Morogoro kwenye party flan hivi na walikua wamelewa vizur tuu, na Matei Lounge mwenyewe ndiyo alikuwa anadrive kwa mbwembwe huku akishndana na fuso...
Inasemekana ulikuwa ni mwendo hatari kiasi kwamba gari ilipinduka na Fuso likaja kwa juu. Mmoja wa abiria alikuwa ni Wakili Joshua Oguda ambaye amefariki masaa machache baada ya mwenzie kupumzishwa motuary ya General Hospital Dodoma.