Mfanyabiashara Matei apata ajali na kufariki

ALLEX

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
2,006
343
Nimepata habari mfanyabiashara Matei mwenye Mateo Pub kapata ajali mbaya na kupoteza Uhai.

Mwenye taarifa zaidi atujuze;

---------------------

UPDATES;

Kuna taarifa kuwa katika ajali hiyo pia amefariki Wakili wa kujitegemea ambaye pia ni mwalimu wa Business Law wa Chuo Kikuu cha St. John's hapo Dodoma Bwana Joshua Oguda, mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali


Marehemu na wenzake walikuwa wanatoka Morogoro kwenye party flan hivi na walikua wamelewa vizur tuu, na Matei Lounge mwenyewe ndiyo alikuwa anadrive kwa mbwembwe huku akishndana na fuso...

Inasemekana ulikuwa ni mwendo hatari kiasi kwamba gari ilipinduka na Fuso likaja kwa juu. Mmoja wa abiria alikuwa ni Wakili Joshua Oguda ambaye amefariki masaa machache baada ya mwenzie kupumzishwa motuary ya General Hospital Dodoma.
attachment.php


attachment.php





attachment.php


attachment.php
 
Poleni sana watu wa Dom marafiki na Familia take kwa ujumla.
TO SOOM RIP MATEI
 
Back
Top Bottom