Mfanyabiashara Matei apata ajali na kufariki

Mfanyabiashara Matei apata ajali na kufariki

sasa bar yake itakuaje maana pa ukweli!...ila kwanini mnapaita lounge? au nakuwaga nimelewa lounge yenyewe siionagi..nway R.i.p
 
Du, inauma sana ila kwnye iyo gari hakukua na mrembo ata mmoja?
 
We nae tumekuvumilia,, umejipa promo juu tumetulia tu,sasa naona wazd jipaisha tu, ndo keshafarik hvo kamseme kaburin kwake,, afu we uliwezaje kuwa Rais wa wanachuo afu huna staha wala hekim na maneno yako? Kenge shooougaa ww

Nilikuwa Rais kwa sababu nilichaguliwa, kama umeumia sana na post zangu kunywa sumu na wewe ufe!
 
Nyambaf mkubwa wewe, ni maneno gani haya ya kifedhuli unayazungumza? Na wewe ULAANIWE kwa wizi wa hela zetu za sosjut ukaenda kununua kale ka mark 2 kako mkweche


hahahahaaa mkuu Kiboko, nawasiwasi na huyu poyoyo anaejiita rais wa sosjut, huyu rais Chid** alikua mwivi mkubwa wa hela za sosjut! Hili jamaa jinga sana linafurahia kifo cha marehemu


kweli kabisa miss strong usemacho ni sahihi, kunako msiba lazma tuweke tofauti zetu kando na kuzikana, huyo mkuu hapo juu kakosa busara kabisa, kwamaneno mepesi ni kwamba kafurahishwa na kifo cha marehemu! Inaonyesha upumbafu wake ni wa hali ya juu sana!

Nakubali mimi mpumbafu haya wewe mwenye akili nenda kazikwe na marehemu, tafadhali usinisumbue niko kwenye maandalizi ya kufanya sherehe nina haki ya kufurahi kama wewe ulivyo na haki ya kusikitika shenzi wewe!!.

Yeye hakuuthamini utu wa watu wengine mimi nimsikitikie wa kazi gan?
 
Last edited by a moderator:
Nakubali mimi mpumbafu haya wewe mwenye akili nenda kazikwe na marehemu, tafadhali usinisumbue niko kwenye maandalizi ya kufanya sherehe nina haki ya kufurahi kama wewe ulivyo na haki ya kusikitika shenzi wewe!!.

Yeye hakuuthamini utu wa watu wengine mimi nimsikitikie wa kazi gan?
Chiduo kubwa jinga wewe, rudisha hela zetu ulizoiba sosjut
 
Daaah!, masikini Mheshimiwa Wakili Bwana Oguda, huyu ndugu alikuwa ana dharau na mnyanyasaji mkubwa wa wanafunzi pale St. John's University hasa akina dada wamenyanyasika sana kijinsia na huyu Mungu mtu!.

Hata hivo watanzania hatuna tabia wala tamaduni ya kufurahia matatizo ya binadamu wenzetu.

Nilipokuwa Rais wa Serikali ya wanafunzi hapo chuoni ndugu Oguda ulisimama kidete kutengeneza fitna ili nifukuzwe Chuo eti kwa kuwa nilipinga sana tabia yako ya kuwaonea wanafunzi hasa wa kike na mpaka Israel anainyemelea roho yako leo nina kesi na Chuo hicho ambapo wewe kwa kiherehere chako ndo wakili unaesaini viapo vya chuo!, natamani upone haraka ili ushuhudie nitakavo wahenyesha hapo Mahakama Kuu ya Dodoma.

Mungu akunusuru Wakili Msomi Joshua Oguda, nimeguswa na kusikitishwa sana kama binadamu kwa kweli nakuombea upone haraka lakini ujue dunia ni mapito mheshimiwa hivo si uungwana kuharibu ndoto za watoto wa watanzania wenzio!

Daaaa, kaka!,Samahani sana. Nasukumwa na roho ya ubinadamu walau kusema chochote kwako. Nimesoma posts zako humu ndani kuhusu vifo vya hawa marehemu, mwili umenisisimuka.
Inaonekana umeshawahi kujeruhiwa au na marehemu mwenyewe au kwa niaba yake. Nakupa pole kwa hilo.
Lakini, pamoja na yote hayo,kwa kawaida binadamu yeyote mwenye ufahamu hata juu kidogo ya ngazi ya ukichaa(above the level of insanity),linapotokea swala la kifo huwa anasamehe.
Na iwapo itatokea hajasamehe humshukuru Mungu na kuchekelea kimoyomoyo kwamba mbaya wake afadhali ameondoka.
Jambo unalolifanya la kutoa hisia zako waziwazi si tu unamkwaza marehemu huko aliko bali pia unawakwaza binadamu wengine na hasa ndugu zake marehemu na wengineo wote waliokuwa karibu naye.
Mbaya zaidi unajitambulisha kwamba umewahi kuwa nadhani Rais wa serikali ya chuo hicho, hii maana yake ni kwamba unafahamiika hata kwa wengi wa wana jf.
Kaka, binadamu hatuishi hivo. Najiuliza kama wewe umewahi kuwa Rais wa chuo kikuu, je walifanya makosa kukuchagua au wewe ndo ulikuwa mwenye uafadhali katika hicho chuo kwa mda huo? ?? ,Hapana. Sitaki kabisa niamini hivo kwa sababu chuo cha kanisa kama kile kupata wahitimu kama wewe nadhani ni bahati mbaya sana.
Nahitimisha kwa kukushauri ujifunze nini cha kuandika kwenye kadamnasi na hasa unapotaka elezea hisia zako. Ukitaka chukua usipotaka potezea.
Raha ya milele uwape hao marehemu wote ee bwana, na mwanga wa milele uwaangazie. Wapumzike kwa amani-AMINA.
 
Nilikuwa Rais kwa sababu nilichaguliwa, kama umeumia sana na post zangu kunywa sumu na wewe ufe!
Tatzo hawa watu hawajakuelewa mkuu,,lakin chris,oguda na wenzie walikuwa watu wa ajabu kweli na mambo yao ya kindezi lakini malipo ni hapahapa duniani
 
Muda huu misa ya kuwaombea marehemu matei na oguda inaendeshwa nyerere square! Dodoma kumezizima
 
Tuwekeeni picha tuone kinacho endelea
 
Back
Top Bottom