Mfanyabiashara Matei apata ajali na kufariki

Mfanyabiashara Matei apata ajali na kufariki

duuuh! mwisho wa mwaka huu jaman mdogomdogo tuwapo kwa road jaman..!
MUNGU AMUWEKE APENDAPO
polen wote
 
AISEEEEE!
Yani hawa wamiliki wa "IBIRIS" siku hizi wanakufa duhhhhh!!!
 
Minadhani nahizi pesa wanazopewa na wateja zona jasho LA wabongo kupitia sijiwi ESCROW waanze kutoa sadaka kwa wenye shida ili kuhalalisha...sivyo mzimu huu mhh
 

Attachments

  • IMG-20141130-WA020.jpg
    IMG-20141130-WA020.jpg
    98.4 KB · Views: 10,040
  • IMG-20141130-WA022.jpg
    IMG-20141130-WA022.jpg
    108.4 KB · Views: 9,907
  • IMG-20141130-WA019.jpg
    IMG-20141130-WA019.jpg
    96.9 KB · Views: 9,807
  • IMG-20141130-WA018.jpg
    IMG-20141130-WA018.jpg
    75.9 KB · Views: 2,128
Mhh ni MARK X!!!!! WATAKUWA WAMEINGIA UVUNGUNI
 
Tuwasubiri wa Dom watujuze zaidi...nasikie kuna mwingine ameongezeka..Tuombe Israel asiendelee kifo noma ingawa daraja hill lazima upite
 
Kuna taarifa kuwa katika ajali hiyo pia amefariki Wakili wa kujitegemea ambaye pia ni mwalimu wa Business Law wa Chuo Kikuu cha St. John's hapo Dodoma Bwana Joshua Oguda, mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali
 
Naonahuu huyu Israel anadili nawafanyabiashara maarufu wa bar kaanza bukoba,Dodoma,dar sijui anamchukua NANI wenyepub kaeni mkao wa kuelelekeanyumbayamilele
Rip!Matei
 
Back
Top Bottom