Mfanyabiashara maarufu Arusha Olais Metili afia guest

Mfanyabiashara maarufu Arusha Olais Metili afia guest

Alikuwa na chopa kama la Gwajima,Nabii Davie au Kamanda Ndesanoti?
 
Kumbe mada hapa ni kuhusu ubilionea!

Honestly..hakuna anaejua atakufaje lakini vifo vingine vinasikitisha sana.
 
Yaani hoteli moja tu tayari ni bilionea siku hizi neno tajiri limekufa mbona hatujamuona kwenye. Forb
 
Kwenye msiba watasema bwana ametoa na bwana ametoa jina lake libarikiwe.....huku nikudhihaki jina la Bwana, But all in all, RIP na Mungu amuweke panapostahili.
 
Yaani hoteli moja tu tayari ni bilionea siku hizi neno tajiri limekufa mbona hatujamuona kwenye. Forb
yaani lodge ambayo wazungu backpaçkers wanafikia basi mwenyewe bilionea. Ar inabidi mpunguze ushamba aisee
 
Hapana..... huyu anamiliki duka la vinyago nje kidogo ya mji wa Arusha kabla hujafika Kisongo. Nadhani panajulikana kwa jina la Masai Gallery

Ni kaka yake na huyo wa Ilboru Lodge

Yeye alikua na muke kwa boma ? sasa kama iko muke kwanini naenda tafuta aibu ?
 
Alikuwa mfanyabiashara maarufu...ila arusha hakuna matukio ya kufamaniwa hayo yapo dar...wengi hawana kazi zaidi ya kufuatilia wake zao..na waume zao ujinga mtupu
 
Im pissed off with "billionea" word its like upuuzi tu. So what? Watu wazima hawaongei kama watoto. Mtu kafa imekuwa " huyu nae billionea?" Billionea, arusha kila mtu bilionea? Kila mtu bilionea, na huyu nae bilionea? Bilionea, bilionea,bilionea, $&@%@&!+!
 
Yaani nilitamani kuisoma hii habari ila kiu yote imeisha kwa upuuuzi wa "bilionea' guys lets act wise bana.
 
Nimeona picha yake siku hizi ukipatwa na janga watu wanakupiga picha kwanza ndio wanaanza kukusaidia huu ulimwengu wa smartphone balaa
 
Back
Top Bottom