Mfanyabiashara maarufu Arusha Olais Metili afia guest

Mfanyabiashara maarufu Arusha Olais Metili afia guest

Im pissed off with "billionea" word its like upuuzi tu. So what? Watu wazima hawaongei kama watoto. Mtu kafa imekuwa " huyu nae billionea?" Billionea, arusha kila mtu bilionea? Kila mtu bilionea, na huyu nae bilionea? Bilionea, bilionea,bilionea, $&@%@&!+!

Ni bilionea Kweli, mimi nipo Dar lkn namfaham ana beoru de change ana maduka ya vinyago kibao hapo arusha
 
Yaani hoteli moja tu tayari ni bilionea siku hizi neno tajiri limekufa mbona hatujamuona kwenye. Forb

Mbona mnaelezwa hamuelewi. ...
Aliyekufa sio Metili mwenye Lodge. ..
Marehemu alikuwa anamiliki duka la vinyago. ..
 
Ni bilionea Kweli, mimi nipo Dar lkn namfaham ana beoru de change ana maduka ya vinyago kibao hapo arusha

Mwenyewe natoka Arusha. Ila kilichonikera ni habari kuwa kifo na watu wakaanza kejeli za ubilionea tu. Topic ilikuwa kifo so pesa.
 
Mfanyabishara Metili amefia kwenye kifua cha hawara,katika hotel ya Diamond Motel iliyopo Sakina,Arusha baada ya kutumia dawa za kuongeza nguvu aiana ya Viagra.Gari yake aina ya Land Cruaser yakutwa nje ya hoteli ,watolewa chini ya ulinzi wa polisi,ndugu wapagawa kwa kilio.

Ni mchepuko tu, pia ni bahati mbaya ya kwake yamewekwa wazi. Ya kwako yakiwekwa wazi ni makubwa kuliko hayo.
 
Wapo wauza nyanya ambao ni bilionea (sidhani kuwa bilionea au milionea ni kazi unayofanya bali ni pesa / assests mtu alizonazo)..., ukizingatia wengi wetu watanzania ni lakionea..., na kuna milionea wa kutosha tu.., hivyo bilionea nao ni wengi ingawa sio wote tunawajua..

Rest in Peace Olais
poleni wafiwa

tatizo ni ushamba kwani mtu akiwa na billion mbili c billionea
 
Nimeona picha yake siku hizi ukipatwa na janga watu wanakupiga picha kwanza ndio wanaanza kukusaidia huu ulimwengu wa smartphone balaa


Kwa kweli walimwengu wamekosa utu. ..Sijui nani katunyang'anya.
Pia maadili yametetereka. Kwanini kupiga picha mtu akiwa uchi na kuzituma?Watoto wadogo wanaziona basi full majanga. .TCRA wala hili hawalioni. .....

Tukeshe tukiomba kwani hatujui siku wala saa.
 
Ni bilionea Kweli, mimi nipo Dar lkn namfaham ana beoru de change ana maduka ya vinyago kibao hapo arusha

Beoru ndio nini?????

watu wamehama kwenye mada wanazungumzia ubilionea waanzishe mada tofauti
 
Mwenyewe natoka Arusha. Ila kilichonikera ni habari kuwa kifo na watu wakaanza kejeli za ubilionea tu. Topic ilikuwa kifo so pesa.

Wangeanzisha topic yao inayotaja mabilionea sio kukejeli kwenye uzi wa mtu mwingine.
 
Yaani kugegeda kazi kweli. Hata uwe rais huwezi ku delegate lazima ufanye mwenyewe. kazi zoote duniani ikiwa pamoja na kula na kujisaidia wanaweza wakakufanyia wengine. Lkn Kugegeda lazima UINGIE FRONT MWENYEWE NA KIFAA CHAKO IWE KIBAMIA AU MPINI. LZM UENDE FRONT. sasa sisi wenye umri na pesa tunapenda tuonekane hhii shughuli tunaimudu. ndio maana unaona tunabugia dawa za kimasai
 
tuwekee Picha ya kimada Tafadhali jamii ijifunze somo LA kuchepuka so dili
 
tuwekee Picha ya kimada Tafadhali jamii ijifunze somo LA kuchepuka so dili


Ni kweli kazungumzwa sana marehemu lakini binti hatajwi kabisa hapa kama kasepa au yupo chini ya ulinzi kuisaidia polisi
 
Arusha ya sasa ina mambo kwakweli:
Mabomu kwenye mikusanyiko - Arusha
Ujambazi - Arusha
Kufumaniwa - Arusha
Kufia kwenye vifua - Arusha

Ee Mungu tuondolee laana hii

Umesahau kama ushirikina wa kugeuza watu nyoka pia arusha
 
Kuvamia haya madawa bila kuongea na Dr ili kupata recommendation yake ni hatari sana, wengi wamepoteza maisha katika nchi nyingi duniani na wengine kuwa vipofu. Poleni wafiwa, Muumba wetu ailaze roho ya mareheme mahali pema peponi~AMEN.

Alietumia viagra ili amkomeshe malaya nae muumba amuwekw peponi?? Embu msimpangie MUNGU mwacheni afanye kazi yake
 
Back
Top Bottom