Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
Huyu ndiye yule mmiliki wa Iboru Lodge au tafadhali mtujuze.
Mkuu huyo ni kaka yake na yule wa Ilboru Lodge. Huyu anamiliki duka la vinyago kabla hujafika Kisongo, panaitwa Masai Gallery..... kwakuwa nawe ni mdau wa utalii bila shaka unapajua hapo