Mfanyabiashara maarufu Arusha Olais Metili afia guest

Mfanyabiashara maarufu Arusha Olais Metili afia guest

Ukienda mchepuko ni muhimu uchukue kadi mbili za rangi ya kijani na bluu uwe unaziaangalia kila mara mara baada ya kunywa viagra, na hasa pale unapoanza kutelekeleza lengo la kuchepuka, ukiona unaanza kutobaininsha kati ya rangi ya bluu na kijani. Toka haraka (usije ukafia kiifuani) utoke chumbani angalau ukafie kwenye ngazi au reception!!!

Duuu hii mpya

Mwenyewe natoka Arusha. Ila kilichonikera ni habari kuwa kifo na watu wakaanza kejeli za ubilionea tu. Topic ilikuwa kifo so pesa.

Hata kwa sie tuliopo India inakera sana

Ukienda mchepuko ni muhimu uchukue kadi mbili za rangi ya kijani na bluu uwe unaziaangalia kila mara mara baada ya kunywa viagra, na hasa pale unapoanza kutelekeleza lengo la kuchepuka, ukiona unaanza kutobaininsha kati ya rangi ya bluu na kijani. Toka haraka (usije ukafia kiifuani) utoke chumbani angalau ukafie kwenye ngazi au reception!!!

Wanakwambia haikupi hata fursa ya kufanya hayo, inakuwa kama short ya umeme vile na moyo unajam instantly. Nadhani ni kitu ya hatari sana kwakweli

Ila nashindwa kuelewa kwanini wasitumie dawa za asili kama kweli wanahitaji nguvu ya ziada, Arusha ndipo walikojaa wamasai ambao ni maarufu kwa dawa za asili, au nao hawaaminiani

Ila nashindwa kuelewa kwanini wasitumie dawa za asili kama kweli wanahitaji nguvu ya ziada, Arusha ndipo walikojaa wamasai ambao ni maarufu kwa dawa za asili, au nao hawaaminiani

Ndg yangu dawa zote ni kusaidia km kuna ka-nguvu japo kidogo....sio umekwisha kabisa unataka uwe dume la simba utasetukatu!la msingi wanaume wezengu tutambue kuwa "Nguvu ni kitu cha kuisha"!.Huwezi kupiga mung'anda km mtoto wa miaka 18 wkt geji inasoma 50......

Wanakwambia haikupi hata fursa ya kufanya hayo, inakuwa kama short ya umeme vile na moyo unajam instantly. Nadhani ni kitu ya hatari sana kwakweli

Ila nashindwa kuelewa kwanini wasitumie dawa za asili kama kweli wanahitaji nguvu ya ziada, Arusha ndipo walikojaa wamasai ambao ni maarufu kwa dawa za asili, au nao hawaaminiani

Huyo mdada aliekuwa nae sijui ana hali gani sasa hivi

Bilionea mwingine afia gesti. Arusha hata ukiwa muuza nyanya utaitwa bilionea

Kutokana na kushuka mno kwa thamani ya Tsh, nashauri kila Mtanzania mwenye kuitwa ni bilionea agawe jumla ya fedha anazomiliki kwa 1700. Kama atabakia milionea basi ajue yeye ni MILIONEA!!!!!!!!!!. US $ 1.0 = Tsh. 1700.

Kwa vile atakuwa anamiliki Dola za Merikani milioni hizo.

Nami niko hapa kaloleni AR nina taxi 4, bodaboda 12, nyumba za kupangisha wapangaji 2 Nami ni Bilionare bwana!

Mfanyabiashara maarufu jijini Arusha, Olais Metili mkazi wa
Uzunguni jijini hapa, amefariki dunia katika nyumba ya kulala wageni ya
Hoteli Diamond Motel iliyopo eneo la Sakina jijini hapa.

Mwili wa mfanyabishara huyo anayemiliki mali
mbalimbali ikiwamo mgahawa wa Bite Bite na duka maarufu la vinyago eneo
la Kisongo uligundulika jana saa 7:00 mchana, wakati wahudumu wa hoteli
hiyo wakitaka kufanya usafi chumba alichokuwa amepanga.

Mfanyabiashara huyo mwenye umri unaokadiriwa
kufikia miaka 56 , ilidaiwa aliingia hotelini hapo na mwanamke mmoja
ambaye hata hivyo, haikujulikana muda ambao alitoka.

“ Metili (Marehemu) alifika katika hoteli hiyo
akiwa ameongozana na mwanamke mmoja ambaye hajafahamika na kuingia
katika chumba chake na haijulikani aliondoka muda gani huyo mwanamke,”
alisema mmoja wa wahudumu wa hoteli hiyo.

Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Liberatus Sabas
hakupatikana jana kuelezea taarifa za awali za uchunguzi wa kifo hicho,
lakini maofisa wa polisi waliuchukua mwili huo, wakisema huenda kesho
taarifa itatolewa rasmi.

Tukio hili, linakumbusha kifo cha Kada wa CCM,
Mjumbe wa Kamati ya utekelezaji ya UVCCM Taifa, Benson Mollel ambaye
alifariki dunia katika hoteli ya Lash Garden eneo la Jakaranda ambapo
pia alidaiwa aliingia katika chumba hicho na mwanamke.

Matukio ya kufa katika nyumba za wageni, katika
jiji la Arusha, yanahusisha na matumizi ya pombe kali au dawa za nguvu
za kiume kwa wanaume wengi ambapo dawa zimekuwa zikiuzwa katika maeneo
mengi jijini hapa bila ya udhibiti mkali

RIP Olais Metili. Pole kwa familia,ndugu na marafiki. Namkumbuka marehemu wakati huo tukinywa bar moja inaitwa First Left,Sakina kwa Capt. Hakua mtata kama walivyo madon wengi wa.Arusha. Pole kwa akina Kambona,Msukuma,Wakili Maro,nk! Mwanaume yeyote rijali unaweza kutana na hii dhahama!

Kuna watu humu jf ni wapuuzi sana ,na kupitia huu Uzi wanadhihirisha upuuzi wao..

Back
Top Bottom