Mfanyabiashara maarufu Arusha Olais Metili afia guest

Mfanyabiashara maarufu Arusha Olais Metili afia guest

Mtoa mada ndio wa kwanza kuto mbatiza mfanyabiashara wa Arusha 'bilionea'. Wenyewe hata mtu amiliki simu ya tochi ni'bilionea' ha hahaha!

Aisee hivi wanalipa kodi kweli hawa mabilionea?
 
Kuvamia haya madawa bila kuongea na Dr ili kupata recommendation yake ni hatari sana, wengi wamepoteza maisha katika nchi nyingi duniani na wengine kuwa vipofu. Poleni wafiwa, Muumba wetu ailaze roho ya mareheme mahali pema peponi~AMEN.

hizi dawa zinauzwa sana mtaaani kama panadol tu siku hizi ......washkaji wanaofanya hii biashara wanapiga sana hela
 
Sasa yeye kakosa dawa za Kimaasai kaenda kugonga viagra?? Huyu ni Metili wa Ilboru Lodge ama??
 
Poleni sana, hayo ni matokeo ya kutumia dawa bila ya vipimo
 
Hizi dawa hazitakiwi upatikanaji wake uwe wa kiholela kiasi hicho, lakini ndiyo hivyo tena nchi yetu kila kitu ni hovyo hivyo sijui Watanzania wangapi wapoteze maisha yao kabla ya Serikali kuanza kudhibiti upatikanaji holela wa dawa hizi.

hizi dawa zinauzwa sana mtaaani kama panadol tu siku hizi ......washkaji wanaofanya hii biashara wanapiga sana hela
 
sijaona popote kwenye maandishi ya mtoa taarifa alipoweka neno bilionea!! nashangaa vijiherehere vinavyoishi ki majungu vikichomekea kitu kisichokuwepo,mijitu mingine ni mitakataka kabisa
 
Viagra is used for the treatment of erectile dysfunction. It is a phosphodiesterase-5 (PDE5) inhibitor. Common side effects of Viagra include facial flushing, headaches, stomach pain, nasal congestion, nausea, diarrhea, and an inability to differentiate between the colors green and blue. Loss of hearing, ringing in the ears and dizziness may occur. Get emergency medical help if you have any of these signs of an allergic reaction: hives; difficulty breathing; swelling of your face, lips, tongue, or throat. During sexual activity, if you become dizzy or nauseated, or have pain, numbness, or tingling in your chest, arms, neck, or jaw, stop and call your doctor right away. You could be having a serious side effect of Viagra.
Source: Side Effects of Viagra (Sildenafil Citrate) Drug Center - RxList

New research shows that 522 patients have died while taking Viagra in the first year the drug was on the market. Since its introduction in March of 1998, more than 12 million prescriptions of the blockbuster treatment for erectile dysfunction (ED) have been written. There are continued concerns that the drug could trigger heart problems in some users; already it is not recommended for patients taking nitrates for this reason.
Source: Viagra Linked to 522 Deaths

Jumuia ya kimataifa iitangaze kuwa ni haramu kama ilivyo kwa madawa ya kulevya
 
Hizi dawa hazitakiwi upatikanaji wake uwe wa kiholela kiasi hicho, lakini ndiyo hivyo tena nchi yetu kila kitu ni hovyo hivyo sijui Watanzania wangapi wapoteze maisha yao kabla ya Serikali kuanza kudhibiti upatikanaji holela wa dawa hizi.

halafu sasa siyo watumiaji wote wana matatizo......wachezaji mpira ni wateja na watumiaji wazuri sana karibu kila timu ya ligi kuu lazima kuwe na mchezaji mmoja ambaye ni supplier
 
sijaona popote kwenye maandishi ya mtoa taarifa alipoweka neno bilionea!! nashangaa vijiherehere vinavyoishi ki majungu vikichomekea kitu kisichokuwepo,mijitu mingine ni mitakataka kabisa
Mkuu sasa na wewe ni lakinea, millionea au billionea?
 
Kuvamia haya madawa bila kuongea na Dr ili kupata recommendation yake ni hatari sana, wengi wamepoteza maisha katika nchi nyingi duniani na wengine kuwa vipofu. Poleni wafiwa, Muumba wetu ailaze roho ya mareheme mahali pema peponi~AMEN.

.....nyingine zimechakachuliwa, almuradi mtihani tu.....bora zile zetu za kiasili "Mkuyati" na wenziwe.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Bilionea mwingine afia gesti. Arusha hata ukiwa muuza nyanya utaitwa bilionea

Hiyo umeweka wewe, mtoa mada kaandika Mfanyabiashara, hiyo ya bilionea umeitoa wapi wewe kama siyo kiherehere? Upumbavu ukitukuzwa shida kweli!!
 
Ndio yule mmiliki wa Ilboru Lodge?

Hapana..... huyu anamiliki duka la vinyago nje kidogo ya mji wa Arusha kabla hujafika Kisongo. Nadhani panajulikana kwa jina la Masai Gallery

Ni kaka yake na huyo wa Ilboru Lodge
 
Back
Top Bottom