Mfanyabiashara maarufu Arusha Olais Metili afia guest

Mfanyabiashara maarufu Arusha Olais Metili afia guest

Kuvamia haya madawa bila kuongea na Dr ili kupata recommendation yake ni hatari sana, wengi wamepoteza maisha katika nchi nyingi duniani na wengine kuwa vipofu. Poleni wafiwa, Muumba wetu ailaze roho ya mareheme mahali pema peponi~AMEN.
Ataendaje mahali pema wakati umeambiwa kafia kwenye kifua cha mchepuko!!!
 
Viagra is used for the treatment of erectile dysfunction. It is a phosphodiesterase-5 (PDE5) inhibitor. Common side effects of Viagra include facial flushing, headaches, stomach pain, nasal congestion, nausea, diarrhea, and an inability to differentiate between the colors green and blue. Loss of hearing, ringing in the ears and dizziness may occur. Get emergency medical help if you have any of these signs of an allergic reaction: hives; difficulty breathing; swelling of your face, lips, tongue, or throat. During sexual activity, if you become dizzy or nauseated, or have pain, numbness, or tingling in your chest, arms, neck, or jaw, stop and call your doctor right away. You could be having a serious side effect of Viagra.
Source: Side Effects of Viagra (Sildenafil Citrate) Drug Center - RxList

New research shows that 522 patients have died while taking Viagra in the first year the drug was on the market. Since its introduction in March of 1998, more than 12 million prescriptions of the blockbuster treatment for erectile dysfunction (ED) have been written. There are continued concerns that the drug could trigger heart problems in some users; already it is not recommended for patients taking nitrates for this reason.
Source: Viagra Linked to 522 Deaths
Mamdogo heri niende kwa mmasai anipe mkuyat, viagra ni sure death!
 
Bilionea mwingine afia gesti. Arusha hata ukiwa muuza nyanya utaitwa bilionea

Nazjaz mi najua watu wa Mtwara na Lindi wanafundwa, wewe vipi? kuropoka ropoka sio zao, ni wapi Arusha Leo ametamka neno bilionea?
 
Last edited by a moderator:
Mamdogo heri niende kwa mmasai anipe mkuyat, viagra ni sure death!

Ukienda mchepuko ni muhimu uchukue kadi mbili za rangi ya kijani na bluu uwe unaziaangalia kila mara mara baada ya kunywa viagra, na hasa pale unapoanza kutelekeleza lengo la kuchepuka, ukiona unaanza kutobaininsha kati ya rangi ya bluu na kijani. Toka haraka (usije ukafia kiifuani) utoke chumbani angalau ukafie kwenye ngazi au reception!!!
 
Perfect! Naskia picha zake kedekede Facebook akiwa wanyama aka kichele

mi nimetumiwa kwa watsApp, hii tabia ya kupiga picha marehemu wakiwa watupu sizani kama ni nzuri
 
Siye wajibu wote ni kumuombea hilo, mwenye maamuzi ya mwisho ni Muumba wetu naye hata wenye dhambi nzito baadhi dhambi zao labda zitasemehewa.

Ataendaje mahali pema wakati umeambiwa kafia kwenye kifua cha mchepuko!!!
 
Hawa mabilionea wa Arusha wanaondoka kwa ajabu.....
 
Amepanda gari moja na Mh. Sani Abacha. Nawaona haooo wanapongezana
 
Kudadadadekiiii....kapiga pampu mpk kaiaga dunia...ama kwelI utamu ukizidi ni sheedaaa
 
Back
Top Bottom