Mfanyabiashara maarufu Arusha Olais Metili afia guest

Mfanyabiashara maarufu Arusha Olais Metili afia guest

ni bilionea.Anayo hotel ya nyota tano inaitwa Ilboru Lodge.. Watalii wanapenda sana kufikia hapo.
Kwa hiyo kigezo ni lodge?
Kwa hiyo kwa ujumla Arusha kuna mabilionea wangapi?

Nafikiri hawa mabilionea wa Arusha wangekuwa wana lipa kodi vizuri Barbara zingepanuliwa vizuri!
 
Bilionea mwingine afia gesti. Arusha hata ukiwa muuza nyanya utaitwa bilionea

Wapo wauza nyanya ambao ni bilionea (sidhani kuwa bilionea au milionea ni kazi unayofanya bali ni pesa / assests mtu alizonazo)..., ukizingatia wengi wetu watanzania ni lakionea..., na kuna milionea wa kutosha tu.., hivyo bilionea nao ni wengi ingawa sio wote tunawajua..

Rest in Peace Olais
poleni wafiwa
 
Nani tumuamini kati yeni wawili nyie, mbona mnapingana na nyote mwaonekana kumfahamu vema marehemu

Honey Faith 15:37 Today
By laki si pesa:
ni bilionea.Anayo hotel ya nyota tano inaitwa Ilboru Lodge.. Watalii wanapenda sana kufikia hapo.
Mdogo wake ndo mwenye ilboru lodge yeye ni kaka yake

Power to the People 15:40 Today
By laki si pesa:
ni bilionea.Aanayo hotel ya nyota tano inaittwa Iilboru Lodge.. Watalii wanapenda sana kufikia hapo.
Mwenye hotel ya ilboru ni kaka yake.
 
Kwa hiyo kigezo ni lodge?
Kwa hiyo kwa ujumla Arusha kuna mabilionea wangapi?

Nafikiri hawa mabilionea wa Arusha wangekuwa wana lipa kodi vizuri Barbara zingepanuliwa vizuri!

mkuu. Kwani kigezo cha ubilionea ni kipi?
 
Na mie nimesikia hata Ruttashobolwa ni bilionea hahahahahah lol!!!! Kulikuwa na sababu yoyote Mkuu kumtaja lema katika uzi huu wa kifo!? wakati mwingine muwe mnafikiri kabla ya kuandika jamani dah!!!!!!

Hahahaha nasikia na Lema ni billionea!
 
Mtoa mada ndio wa kwanza kuto mbatiza mfanyabiashara wa Arusha 'bilionea'. Wenyewe hata mtu amiliki simu ya tochi ni'bilionea' ha hahaha!
 
Na mie nimesikia hata Ruttashobolwa ni bilionea hahahahahah lol!!!! Kulikuwa na sababu yoyote Mkuu kumtaja lema katika uzi huu wa kifo!? wakati mwingine muwe mnafikiri kabla ya kuandika jamani dah!!!!!!


Kwikwikwi hata Mungi nasikia ni billionea!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo kuna watu hapa hawaijui arusha wanaropoka ropoka tu.. Arusha mabilionea wapo wengi.,Acheni wivu.

Kwikwikwi hivi unaongelea Arusha gani wasio ijua watu hapa? Kuna mabilionea wangapi Arusha?
 
Viagra is used for the treatment of erectile dysfunction. It is a phosphodiesterase-5 (PDE5) inhibitor. Common side effects of Viagra include facial flushing, headaches, stomach pain, nasal congestion, nausea, diarrhea, and an inability to differentiate between the colors green and blue. Loss of hearing, ringing in the ears and dizziness may occur. Get emergency medical help if you have any of these signs of an allergic reaction: hives; difficulty breathing; swelling of your face, lips, tongue, or throat. During sexual activity, if you become dizzy or nauseated, or have pain, numbness, or tingling in your chest, arms, neck, or jaw, stop and call your doctor right away. You could be having a serious side effect of Viagra.
Source: Side Effects of Viagra (Sildenafil Citrate) Drug Center - RxList

New research shows that 522 patients have died while taking Viagra in the first year the drug was on the market. Since its introduction in March of 1998, more than 12 million prescriptions of the blockbuster treatment for erectile dysfunction (ED) have been written. There are continued concerns that the drug could trigger heart problems in some users; already it is not recommended for patients taking nitrates for this reason.
Source: Viagra Linked to 522 Deaths
 
Back
Top Bottom