Mfahamu vyema mnyama Tembo (Elephant )

Mfahamu vyema mnyama Tembo (Elephant )

Haha, ila hujasema kimba lake lina kilo ngapi maana wanasemaga ukiiga kunya kwa tembo utapasuka mdamba....
 
Namba 9. Nyongeza. Tembo anangonoka mara 2 tu kwa mwaka!

More. Mtoto wa TEMBO anatembea siku ile ile alozaliwa.

Mtoto wa TEMBO huachishwa kunyonya soon baada ya kuota pembe, coz akiachwa anyonye pembe humchoma mamaye.

TEMBO kamwe hamsahau mamaye na kwa maana hiyo hawezi kumpanda mamake, sio kama kuku.

Hiyo nyongeza inawahusu watu wa Lumumba kama wakina Lizaboni,Jingalao na Barbabosa maana wana akili ya Kuku tena wakizungu.
 
Na Tembo wana kumbukumbu nzuri sana
ukimpiga Tembo Morogoro akija Dar anakujua....nmewahi sikia hii

ndo maana kuna msemo An Elephant never forgets.....

na hawapendi kelele kabisa......ni rahisi mtu kuuwawa na Tembo kama anapiga kelele...
kuliko alekaa kimya
 
WALIPOSEMA UKIIGA .....KWA TEMBO UTACHANIKA MSAMBA...WALIKUWA NA MAANA LABDA ZAIDI YA HII
Ila tembo hasa dume mmmh...

1.Tembo pamoja na ukubwa wake akitembea hana kishindo kabisa miguu yake kwa chini ni kama ina sponge hivi.

2.Tembo anaukubwa wa tani 7

3.Tembo jike hubeba mimba miaka 2

4.Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80

5.Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita 40

6.Uume wa tembo una kilo 27,ukimuona wakati anafanya mapenzi kwa nyuma unaweza kuhisi ana miguu mitatu.

7.Ni moja kati ya wanyama ambao hawapendi kelele

8.Umri wake wa kuishi ni miaka 60

9.Tembo ana fanya mapenzi kwa masaa 12 masaa 6 ya mwanzo anamuandaa mwenzi wake na 6 yanayobaki ndio shughuli yenyewe na hiyo ni ile raundi ya kwanza.

10.Tembo dume huwa na wanawake wawili mpaka wanne

11.Akipiga bao tembo dume manii zake ni ujazo wa lita tano. UKIAMBIWA USIMUIGE TEMBO UWE UNAELEWA SIYO VIBAO VYAKO VYA NUSU SAA CHARI ,HATA KINDUDE HAKIJAI AFU KILA SIKU UNATONGOZA DEMU MPYA PUMBAVUUUUU ,zipu MBOVU,AKILI MBOVU ,AFYA MBOVU@
Cheki hiyo namba 2, kama inaulakini hivi (ukubwa=/= tani)!!!!
 
Hahaa hiyo namba 6.... Du kilo 27, huo ni mzigo! Japo na mimi nina mguu wa tatu! Hahahh
 
USILOLIJUA KUHUSU TEMBO.
1. Tembo, Pamoja na ukubwa wake, akitembea hana kishindo kabisa. Miguu yake kwa chini ni kama ina sponji hivi.
2. Tembo ana uzito wa tani 7
3. Tembo jike hubeba mimba miaka 2
4.Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80
5. Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita 40
6. Uume wa tembo una kilo 27, ukimuona wakati anafanya mapenzi kwa nyuma unaweza kuhisi ana miguu mitatu.
7. Ni moja kati ya wanyama ambao hawapendi kelele
8. Wastani wa umri wake wa kuishi ni miaka 60.
9. Tembo hufanya mapenzi kwa masaa 12. Masaa 6 ya mwanzo huyatumia kumuandaa mwenzi wake, na 6 yanayobaki ndio shughuli yenyewe. Na hiyo ni ile raundi ya kwanza (bao la kwanza)
10. Tembo dume huwa na wanawake wawili mpaka wanne
11. Akipiga bao tembo dume manii zake ni ujazo wa lita tano.
UKIAMBIWA USIMUIGE TEMBO, UWE UNAELEWA
 
HAhahaaa
anamuandaa mwenzie mdamrefu kweli ndo maana hapat UKIMWI
 
Asante mkuu kwa taarifa tamu kuhusu elephanti
 
Duh hivi balaa kwa hiyo siku ya kugegedana hakuna kula wala nini hapo
 
Bhuahahahahaha duh eti goli moja masaa 6. ..inshu si itakuwa inawaka moto muda wote
 
Duuh mche wa tembo una kilo 27 na anamwaga manii Lita tano, kweli tembo ndiyo anaenjoy sex
 
Back
Top Bottom