Mfahamu vyema mnyama Tembo (Elephant )

Mfahamu vyema mnyama Tembo (Elephant )

Jamaa anaandika halaf anasahau na watu wazima tupo humu ndani kufanya sex(mating/copulate hakuchukui hata nusu saa) yeye story za vijiweni anakuja kutuletea JF. Masaa sita anayafaham au alitaka aema dk sita? Huu upotoshaj kwa watoto wetu na madogo ambayo ni veelazer ni wa kiwango kikubwa sana.
 
Muda alioutaja haufiki Massa 6,Wanasayansi waliofanya utafiti wana sema copulation process ni ndani ya seconds kadhaa tu imemalizika.

Na hata video zake wakati wa mating zinaonesha hivyo muda ni mfupi sana ndani ya dakika mchezo umeisha
Hebu Weka Izo Video
 
Jamaa anaandika halaf anasahau na watu wazima tupo humu ndani kufanya sex(mating/copulate hakuchukui hata nusu saa) yeye story za vijiweni anakuja kutuletea JF. Masaa sita anayafaham au alitaka aema dk sita? Huu upotoshaj kwa watoto wetu na madogo ambayo ni veelazer ni wa kiwango kikubwa sana.
Shemeji Toa Hoja Acha Kulalamika
 
Kuna jamaa aliniambia hawa jamaa pia wanafanya tambiko. Ebu nijuzen wakuu.
 
USILOLIJUA KUHUSU TEMBO.

1. Tembo, Pamoja na ukubwa wake, akitembea hana kishindo kabisa. Miguu yake kwa chini ni kama ina sponji hivi

2. Tembo ana uzito wa tani 7

3. Tembo jike hubeba mimba miaka 2

4.Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80

5. Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita 40

6. Uume wa tembo una kilo 27, ukimuona wakati anafanya mapenzi kwa nyuma unaweza kuhisi ana miguu mitatu.

7. Ni moja kati ya wanyama ambao hawapendi kelele

8. Wastani wa umri wake wa kuishi ni miaka 60.

9. Tembo hufanya mapenzi kwa masaa

12. Masaa 6 ya mwanzo huyatumia kumuandaa mwenzi wake, na 6 yanayobaki ndio shughuli yenyewe. Na hiyo ni ile raundi ya kwanza (bao la kwanza)

10. Tembo dume huwa na wanawake wawili mpaka wanne

11. Akipiga bao tembo dume manii zake ni ujazo wa lita tano.
UKIAMBIWA USIMUIGE TEMBO, UWE UNAELEWA
 
Nasikia pia huwa wanaombeleza kifo cha mwenzao,ni wanyama wazuri wenye akili,halafu anatokea mshenzi na gobole anaharibu yoote jangili ahukumumiwe kama muuwaji wa raia.
Shemeji Iyo Unayosema Ni Kweri Kabisa
 
Kama ndivyo, basi ukipiga hesabu sawa sawa unaweza kukuta kumbe kutunza tembo ni hasara tupu kwa taifa!! Lita 40 za maji mi nakunywa mwezi mzima na chenji ya kutosha inabaki halafu yeye anayabugia siku moja tu? Kumbe ndo maana huwezi kuona sehemu ambayo tembo na wanyama wengine hunywa maji halafu ukakuta maji ya kutosha zaidi ya maji yaliyojaa matope! Majani nae ni kiumbe hai lakini hana wa kumtetea lakini siku akisikia tembo wameisha basi majani yatafanya sherehe!!!

Ikiwa kupungua kwa vyanzo vya maji kunachangiwa na mabadiliko ya tabia za nchi basi hata tembo nae ana mchango katika hili!
Upo wrong kidogo mkuuu.
Kuna kitu kinaitwa Eco system na ecobalance.
Kuna levelz za matumizi za wanyama na uzalianaji. Twende hivi,

Maji ni renewable resource, kila siku chem chem zinatiririsha maji ,mitoni na ziwani, so haikaushwi na huwepo wa wanyama fulani bali activities fulan za kuharibu vyanzo vya maji ndio hatari.

Wanyama wote wakubwa kiumbo , wanao hitaji matumizi makubwa ya resource yeyote utagundua wanakuwa wachache na wenye kuzaliana kwa muda mrefu (kubeba mimba ) wakiwa wengi sana kutakuwa hakuna balance ya nature

Wanyama au viumbe hai wengine wanaotegemea sana kwa kuwa chanzo cha chakula kwa wengine, au walio katika level ya chini ya piramidi huzaliana kwa wingi na kuwa wengi sana.

Nature ina jibalasi vizuri sana binadamu asipo ingilia.

Mfano itakuwa janga kubwa endapo wanyama wote walao nyama wakatolewa
 
Shukran Shemeji Kwa kutusahihisa Ndio Uzur Wa Jf
 
Back
Top Bottom