Mfahamu vyema mnyama Tembo (Elephant )

Mfahamu vyema mnyama Tembo (Elephant )

Mkuu tembo dume anagegeda mara ngapi kwa mwezi au mwaka kama ni kila cku jike kazi anayo hahaha
 
USILOLIJUA KUHUSU TEMBO.

1. Tembo, Pamoja na ukubwa wake, akitembea hana kishindo kabisa. Miguu yake kwa chini ni kama ina sponji hivi

2. Tembo ana uzito wa tani 7

3. Tembo jike hubeba mimba miaka 2

4.Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80

5. Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita 40

6. Uume wa tembo una kilo 27, ukimuona wakati anafanya mapenzi kwa nyuma unaweza kuhisi ana miguu mitatu.

7. Ni moja kati ya wanyama ambao hawapendi kelele

8. Wastani wa umri wake wa kuishi ni miaka 60.

9. Tembo hufanya mapenzi kwa masaa

12. Masaa 6 ya mwanzo huyatumia kumuandaa mwenzi wake, na 6 yanayobaki ndio shughuli yenyewe. Na hiyo ni ile raundi ya kwanza (bao la kwanza)

10. Tembo dume huwa na wanawake wawili mpaka wanne

11. Akipiga bao tembo dume manii zake ni ujazo wa lita tano.
UKIAMBIWA USIMUIGE TEMBO, UWE UNAELEWA
 
Kama ndivyo, basi ukipiga hesabu sawa sawa unaweza kukuta kumbe kutunza tembo ni hasara tupu kwa taifa!! Lita 40 za maji mi nakunywa mwezi mzima na chenji ya kutosha inabaki halafu yeye anayabugia siku moja tu? Kumbe ndo maana huwezi kuona sehemu ambayo tembo na wanyama wengine hunywa maji halafu ukakuta maji ya kutosha zaidi ya maji yaliyojaa matope! Majani nae ni kiumbe hai lakini hana wa kumtetea lakini siku akisikia tembo wameisha basi majani yatafanya sherehe!!!

Ikiwa kupungua kwa vyanzo vya maji kunachangiwa na mabadiliko ya tabia za nchi basi hata tembo nae ana mchango katika hili!
 
mav yake dawa ya degedege na mbu.
 
una akili sana, sema k2 kmoja tu unawaza kwa sauti
 
Viumbe vinaish kwa kutegemeana
 
Muda alioutaja haufiki Massa 6,Wanasayansi waliofanya utafiti wana sema copulation process ni ndani ya seconds kadhaa tu imemalizika.

Na hata video zake wakati wa mating zinaonesha hivyo muda ni mfupi sana ndani ya dakika mchezo umeisha
 
Man umesoma wapi iyo ya masaa 6 na lita 5?.Au ni pori gani ilo unakowaona wanagegedana masaa 6.Nenda kafanye tafiti upya kisha urudi kurekebisha huo uzi wako.
 
Back
Top Bottom