Mfahamu vyema mnyama Tembo (Elephant )

Mfahamu vyema mnyama Tembo (Elephant )

aisee tembo anafaidi sana mambo yetu yale masaa 6 ushuki
 
Kuna wale binadamu hufanya NGONO na wanyama kama punda, mbwa n.k
vipi kuhusu Tembo maana sijawahi kusikia!!!!!!
 
14Pia ni mnyama pekee anayeweza kukimbia kwa constant speed kwa mwendo mrefu
15 matiti ya tembo yapo usawa wa miguu ya mbele na siyo miguu ya nyuma kama tulivozoea kuona kwa mbuzi au ng'ombe
 
Wabongo hapa mmekazania kushangaa uchi wa tembo, hamjiulizi kuwa kama anakula kilo 300 kwa siku inaathari gani kwa mazingira?
wakiingia tembo 10 kwenye mashamba (yenye mazao) ya wakulima hali itakuwaje?
 
natamani ningekuwa mke wa tembo lolz teh teh kwi kwi kwi

mix with yours
 
1. Tembo pamoja na ukubwa wake akitembea hana kishindo kabisa miguu yake kwa
chini ni kama ina sponge hivi.
2. Tembo anaukubwa wa tani 7
3. Tembo jike hubeba mimba miezi 24 au miaka 2
4. Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80
5. Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita 40
6. Ni moja kati ya wanyama ambao hawapendi kelele
7. Umri wake wa kuishi ni miaka 60
8. Uume wa tembo una kilo 27, ukimuona wakati anafanya mapenzi kwa nyuma unaweza kuhisi ana miguu mitatu.
9.Tembo ana fanya mapenzi kwa masaa 12; masaa 6 ya mwanzo anamuandaa mwenzi wake na 6 yanayobaki ndio shughuli yenyewe na hiyo ni ile raundi ya kwanza.
10. Tembo dume huwa na wanawake wawili mpaka wanne
11. Akipiga bao tembo dume manii zake ni ujazo wa lita tano
12. Tembo anategemea sana uwezo wake wa kunusa ili kuweza kutambua mazingira aliyopo na vitu vinavyomzunguka. Sambamba na harufu, tembo pia ana uwezo mkubwa wa kusikia kupitia masikio yake makubwa (by the way, tembo porini huitwa Masikio).
13. Tembo hana uwezo mkubwa wa kutambua vitu kwa kuona. hutegemea zaidi pua na masikio kuweza kufanikisha shughuli zake. kutokana na hali hiyo, mara nyingi ukiwa porini unashauriwa kumpiga picha tembo BILA ya kutumia flash. hii inatoka na kwamba, endapo utatumia flash wakati unampiga picha, tembo atajenga hisia ya kutoelewa nini kimetokea. kwa kifupi hataweza kutofautisha kama ni kitu cha kawaida au ni hatari. katika mazingira haya, huanza ku-charge kuelekea upande ule ambao mwanga umetokea.
Chanzo:
Sifa 13 za maajabu ya tembo - Tabianchi

jamani wanaume wetu mjifunze kutoka kwa tembo kuandaana ni jambo la muhimu, unamkuta mtu anakurupuka tu na kutaka kitu chenyewe, mjifunze kutoka kwa tembo
 
Sijui kwanini makatibu wa vyama vyetu hawapendi swala, nyumbu au hata kobe wanampenda sana tembo.
 
na kweli kama miguu mitatu,,mmoja njiti
:smile-big:
 
Duu kilo 25 ...ujazo wa manii kilo tano..mapenzi masaa 24..balaa.
 
WALIPOSEMA UKIIGA .....KWA TEMBO UTACHANIKA MSAMBA...WALIKUWA NA MAANA LABDA ZAIDI YA HII
Ila tembo hasa dume mmmh...

1.Tembo pamoja na ukubwa wake akitembea hana kishindo kabisa miguu yake kwa chini ni kama ina sponge hivi.

2.Tembo anaukubwa wa tani 7

3.Tembo jike hubeba mimba miaka 2

4.Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80

5.Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita 40

6.Uume wa tembo una kilo 27,ukimuona wakati anafanya mapenzi kwa nyuma unaweza kuhisi ana miguu mitatu.

7.Ni moja kati ya wanyama ambao hawapendi kelele

8.Umri wake wa kuishi ni miaka 60

9.Tembo ana fanya mapenzi kwa masaa 12 masaa 6 ya mwanzo anamuandaa mwenzi wake na 6 yanayobaki ndio shughuli yenyewe na hiyo ni ile raundi ya kwanza.

10.Tembo dume huwa na wanawake wawili mpaka wanne

11.Akipiga bao tembo dume manii zake ni ujazo wa lita tano. UKIAMBIWA USIMUIGE TEMBO UWE UNAELEWA SIYO VIBAO VYAKO VYA NUSU SAA CHARI ,HATA KINDUDE HAKIJAI AFU KILA SIKU UNATONGOZA DEMU MPYA PUMBAVUUUUU ,zipu MBOVU,AKILI MBOVU ,AFYA MBOVU@
 
Namba 9. Nyongeza. Tembo anangonoka mara 2 tu kwa mwaka!

More. Mtoto wa TEMBO anatembea siku ile ile alozaliwa.

Mtoto wa TEMBO huachishwa kunyonya soon baada ya kuota pembe, coz akiachwa anyonye pembe humchoma mamaye.

TEMBO kamwe hamsahau mamaye na kwa maana hiyo hawezi kumpanda mamake, sio kama kuku.
 
Back
Top Bottom