2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,690
Kongole kwa wachawi wote duniani kwa kuroga kwa kutumia tunguli kuingia nyumba za watu pasipo kuonekana ni hatua kubwa mmepiga.
Mwaka 1943 marekani walidhamilia kugundua teknolojia ya kupotea ili wasionekane wanapokuwa katika uwanja wa vita.
Mission hiyo waliipatia jina la 'The Philadelphia Experiment' iliyo kuwa chini ya mwana sayansi nguri Tesla, Telsa alipiga chini tafiti hiyo baada kugundua madhara ni makubwa kuliko faida.
Baadae iliendelezwa na jamaa wakuitwa Albert Einstein ambae alitumia meli ya kijeshi ya marekani katika jaribio hilo kwa kuifanya isionekane kwenye rader wala machoni mwa maadui.
Jaribio lilifanikiwa baada ya meli hiyo kuonekana 'Norfolk Naval shipyard in Virginia' na baadae kurudi tena 'Philadelphia' ambapo jaribio lilikuwa liki fanyika.
Jaribio liliambatana na athari hasi kama kupatwa wazimu baadhi ya wanacheshi walio kuwepo ndani ya chombo, kuchanganyikiwa kutokana na mionzi ya umeme iliyo kuwa inaizunguka meli wakati wa tukio.
Jaribio lilisitishwa na serikali ya marekani baada ya kadhia hiyo kutokea.
The Philadelphia Experiment is one of the most grotesque military urban legends ever — and it has endured as an infamous World War II conspiracy theory. But is there any truth to it? Let's take a look.
According to legend, on Oct. 28, 1943, the USS Eldridge, a Cannon-class destroyer escort, was conducting top-secret experiments designed to win command of the oceans against the Axis powers. The rumor was that the government was creating technology that would render naval ships invisible to enemy radar, and there in the Philadelphia Naval Shipyard, it was time to test it out.
Witnesses claim an eerie green-blue glow surrounded the hull of the ship as her generators spun up and then, suddenly, the Eldridge disappeared. The ship was then seen in Norfolk Naval Shipyard in Virginia before disappearing again and reappearing back in Philadelphia.
The legend states that classified military documents reported that the Eldridge crew were affected by the events in disturbing ways. Some went insane. Others developed mysterious illness. But others still were said to have been fused together with the ship; still alive, but with limbs sealed to the metal.
source: jamal april
:Shannon corbeil