Siku hizi sisikii akitaka maombi tenaWanasema Kila Sehemu Mungu Hoyee
Siku hizi sisikii akitaka maombi tenaWanasema Kila Sehemu Mungu Hoyee
Bwana YuleSiku hizi sisikii akitaka maombi tena
Kama ccm ipo siku itajichanganya tu kwa kuiba kura ndipo kina polepole watajua hawajui.Kuna siku atajichanganya ataliwa tu
Duuuh umekuja bongo kimyaOoh bestiiii nipo mbona
Nilikuwa home kwa muda ila nimerudi tena kwenye baridi na Babu hoi huku ila taratibu ana recover na hatujui hatma yake
Tunasikilizia tu








twende kanisani mkuuHuyo ndege kwakuwa ni nature aliyoiumba Mungu hataliwa na mamba ila CCM haikuumbwa na mungu na wala Mungu hakuwaumba watanzania wajinga hata wasione uovu unaofanywa na CCM ipo siku mtajichanganya kikwete alijua kula na vipofu ila huyu wasasa anaamini anaweza kuwatiisha watu 60 milioni Kama anavyomtiisha jeska wake.Kuna siku atajichanganya ataliwa tu
Kila siku sababu mpya za kuendelea kumuamini mungu wangu zinaongezekaMoja kati ya jambo la kustaajabisha kwa kiumbe mamba ni kuwa hana ulimi, uchafu anaouzalisha kinywani kutokana na chakula anachokula husafishwa na ndege
Plover Bird ni ndege pekee ambaye huingia kinywani mwa mamba na mamba huwa hamli ndege huyu
Anachokifanya Plover kinywani mwa mamba ni kula uchafu unaokuwa kwenye meno ya mamba, hivyo huwa kama mswaki wake. Yeye hutoka akiwa ameshiba na mamba hubaki na kinywa safi
Ni jambo la ajabu katika utegemezi wa Mamba na Plover Bird kwa kuwa viumbe wengine wakiingia kinywani mwa mamba huwa wanaishia kuliwa
View attachment 1713019
Lugha gani hii?Harafu CCM wanamushusha hazi
Mamba(crocodile) hana ulimi, ila alligator ndiye mwenye ulimi. Hizo picha ni za Alligators siyo Croc.Sasa mkuu umepewa mpaka ushahidi wa picha na maelezo toka kwa walioamua kugooggle, bado unabisha, tatizo nini mkuu.
Crocodile TonguesMamba(crocodile) hana ulimi, ila alligator ndiye mwenye ulimi. Hizo picha ni za Alligators siyo Croc.
Acha kudanganya watu. Mamba(crocodile) hana ulimi, mwenye ulimi Ni Alligator. Hayo mapicha picha siyo mamba ni alligator ambaye kama humjui unaweza kushindwa kumtofautisha na mamba. Kuna Croc na Alligator.Ulimi wa mwamba hauchezeki
Mamba anao Ulimi ila hawezi kuuchezesha.
Mkuu unapenda ligi, naomba unipe huo ushahidi kuwa mamba hana ulimi, kwani humu pia tunajifunzaAcha kudanganya watu. Mamba(crocodile) hana ulimi, mwenye ulimi Ni Alligator. Hayo mapicha picha siyo mamba ni alligator ambaye kama humjui unaweza kushindwa kumtofautisha na mamba. Kuna Croc na Alligator.
Mkuu wew ulishawahi jichanganya sehemu na kuliwa?? Sorry kama lugha ni kaliKuna siku atajichanganya ataliwa tu
Tukate mzizi wa fitna mkuuAcha kudanganya watu. Mamba(crocodile) hana ulimi, mwenye ulimi Ni Alligator. Hayo mapicha picha siyo mamba ni alligator ambaye kama humjui unaweza kushindwa kumtofautisha na mamba. Kuna Croc na Alligator.
Topic ilikuwa ni ya mamba (Nile Crocodile )Acha kudanganya watu. Mamba(crocodile) hana ulimi, mwenye ulimi Ni Alligator. Hayo mapicha picha siyo mamba ni alligator ambaye kama humjui unaweza kushindwa kumtofautisha na mamba. Kuna Croc na Alligator.
Acha kudanganya watu. Mamba(crocodile) hana ulimi, mwenye ulimi Ni Alligator. Hayo mapicha picha siyo mamba ni alligator ambaye kama humjui unaweza kushindwa kumtofautisha na mamba. Kuna Croc na Alligator.