Mfahamu ‘plover bird’, mswaki wa mamba

Mfahamu ‘plover bird’, mswaki wa mamba

Topic ilikuwa ni ya mamba (Nile Crocodile )
Africa hatuna Alligator, kubali haujui alafu fanya utafiti kuliko kubaki na ujinga milele. Kutokujua sio kosa ila kubaki hujui ndio shida.
Utumbo tu.
 
Kwa hiyo unajiona wewe ndio mwenye ufahamu kuliko wote sio
Halafu uwe na heshima kuita watu usiowajua waongo ok
Yaani Google crocs atokee alligator
Inaonekana unapenda ligi sana au una tatizo la akili
Let me ignore you
Kijana ni mjuaji balaa huyo, naona uliamua kusurrender yaishe. Amenifanya mpaka nimeingia google kumthibitishia.
 
Huyo ndege kwakuwa ni nature aliyoiumba Mungu hataliwa na mamba ila CCM haikuumbwa na mungu na wala Mungu hakuwaumba watanzania wajinga hata wasione uovu unaofanywa na CCM ipo siku mtajichanganya kikwete alijua kula na vipofu ila huyu wasasa anaamini anaweza kuwatiisha watu 60 milioni Kama anavyomtiisha jeska wake.
Nonsense.
 
Umeongea UONGO kuhusu Mbung'o. Mimi nimeumwa sana na hawa wadudu Arusha na Singida kwenye mapori. Si kweli kuwa ni zaidi ya maumivu ya sindano ya hosp. Huo ni UONGO MKUBWA. ni maumivu ya kawaida ya kukera tu. Tulikuwa tunatembea na kukaa porini ambako mbung'o ni wengi sana . Huo ugonjwa pia umeukuza. Huwezi ukalala ukiwa unaoga. Labda uwe unaoga umelala majini. Si vizuri kudanganya na watu wazima wamo humu na wenye uzoefu wamo. SI VIZURI.
Mbung'o maumivu yake siyo Sana, ila kuna mkubwa wake anaitwa Ndorobo, huyu Mkuu ni hatari akiuma, fraction of second damu inayotoka utadhani umekatwa na kisu.
 
Back
Top Bottom