Mfahamu ‘plover bird’, mswaki wa mamba

hiyo inaitwa symboatic relationship
...kama alivyo ndege anaitwa buffalo weaver au cattle egret wanavyokula kupe na tsetse fly kwa wanyama wengine km nyati!
usiombe uumwe na mbungo(tsetse fly)ni zaidi ya sindano ya ospitali.ndio wanaoleta ugonjwa wa malale ule unakuwa unasinzia hata bafuni ukiwa unaoga
Umeongea UONGO kuhusu Mbung'o. Mimi nimeumwa sana na hawa wadudu Arusha na Singida kwenye mapori. Si kweli kuwa ni zaidi ya maumivu ya sindano ya hosp. Huo ni UONGO MKUBWA. ni maumivu ya kawaida ya kukera tu. Tulikuwa tunatembea na kukaa porini ambako mbung'o ni wengi sana . Huo ugonjwa pia umeukuza. Huwezi ukalala ukiwa unaoga. Labda uwe unaoga umelala majini. Si vizuri kudanganya na watu wazima wamo humu na wenye uzoefu wamo. SI VIZURI.
 
Anao ulimi ila umeshikana na hauzunguki kama wa kwetu
Kwa hiyo hana uwezo wa kuutoa nje kama wanyama wengine au binadamu
View attachment 1713370
View attachment 1713345

View attachment 1713347

View attachment 1713346

View attachment 1713348

View attachment 1713349

View attachment 1713350

View all

Their tongues are not free, but held in place by a membrane that limits movement; as a result, crocodiles are unable to stick out their tongues. Crocodiles have smooth skin on
Naona mmekuja na mapicha picha kabisa
 
hiyo inaitwa symboatic relationship
...kama alivyo ndege anaitwa buffalo weaver au cattle egret wanavyokula kupe na tsetse fly kwa wanyama wengine km nyati!
usiombe uumwe na mbungo(tsetse fly)ni zaidi ya sindano ya ospitali.ndio wanaoleta ugonjwa wa malale ule unakuwa unasinzia hata bafuni ukiwa unaoga
Symbiotic: Mutualism.
 
Back
Top Bottom