Mfahamu mrithi wa Marehemu Maalim Seif, Mh. Othuman Masoud Othuman

..Video hii wamehojiwa ndugu zake Othman Masoud Othman, pamoja na watu wengine waliomjua toka akiwa kijana mdogo.

 
Maelezo mengi swali hujibu.

Kwahiyo ukivunjika kutakuwa ya sheria ya kwamba wazanzibar wasiingie tanganyika kwasababu muungano umevunjika?

Tutaingia kama nchi nyengine tunavyoingia.

Swali kwanini mnaung'ang'ani muungano hali yakuwa wazanzibar waliowengi hawautaki?
hiyo ni nchi au mkoa tena kama wilaya tu? tukifukuza wote huku bara mtatosha hapo? si mtakaa kama simbilisi kwenye kibanda?
 
hiyo ni nchi au mkoa tena kama wilaya tu? tukifukuza wote huku bara mtatosha hapo? si mtakaa kama simbilisi kwenye kibanda?
Anaeifanya mkoa ni mzamzibar au mtangnyika? Mkoa unakuwa na rais? Kabla yya kuutakata uwe hivyo unavyotaka kwanini unaung'ang'nia mkoa wkati wakazi wake waliowengi hawataki kuuitwa mkoa?
 
Unaposema maalim aliandaa watu wa kuziba pengo lake wakati Mheshimiwa Othman amekulia Ccm ndio nabaki na maswali
 
Kwa mfano sisi Watanganyika tunawasaidia kipi Wazanzibar?

Kujijaza ujinga tu kichwani.
1. Zanzibar haichangii hata senti kwenye serikali ya muungano.
2. Wabunge wa Zanzibar huko Dodoma wanashiriki kwenye vajeti za Tanganyika na hulipwa posho.
3. Pesa za majimbo hupewa wabunge wa Zanzibar wakati huko Zanzibar kuna wawakilishi wa majimbo.
4. Rais Samia Suluhu anasimamia bajeti ya Tanganyika wakati yeye ni Mzanzibari na haichangii cho chote. Kwa kuwa serikali ya muungano imeimeza Tanganyika
5. Tanganyika haina kiongozi kwa sasa, sababu Waziri mkuu huteuliwa na rais aliyepo kwahiyo sio kiongozi mkuu wetu.
6. Zanzibar ina serikali yake, bendera, bunge, wanatawala kwa raha zake
7. Juzi juzi alitangaza meli 8 zinunuliwe za kuvua maji marefu lakini kw pesa ya Tanganyika.
8. Wazanzibari wanaweza kununua na kumilki ardhi, wwanaweza kugombea hata ubunge huku, lakini sio kwao, uende huko, wameweka vigezo uishi miaka kumi na zaidi ndipo unapoweza kugombea uongozi wa kisiasa.

Zanzibar - elezea Zanzibar inasaidia nini Tanganyika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom