Acha povu, matusi ya nini sasaMwinyi atakabidhi kwa maza ako
Kuna shida gani akikabidhi kwa maza ako mkuu? mbona umesema akabidhi kwangu kumbe ulikuwa unanitusi mkuu?Acha povu, matusi ya nini sasa
Kwani wewe ni maza! Nimekusoma, haina shida. Yaishe.Kuna shida gani akikabidhi kwa maza ako mkuu? mbona umesema akabidhi kwangu kumbe ulikuwa unanitusi mkuu?
Tulia sindano ipenyeKwani wewe ni maza! Nimekusoma, haina shida. Yaishe.
Ni nani anamng'ang'ania mwenzake kati ya Tanganyika na Zanzibar.Mtanganyika acha unafiki kujifanya kumjali mtu ambaye hakutaki wala hataki ushirika na wew. Mtanganyika unatumia mpaka vifaru ili Zanzibar isijiondoe kwa muungano.ni moja ya watu watakaosababisha muungano uvunjwe na baadaye ataishi kwenye historia akilaumiwa na yeye akijilaumu. kwasababu sasaivi tunapowashikilia kama watoto wanaona wabara hatuna faida, ila tukiachana watatutafutak wa tochi.
Hujui hata maana ya neno kipanga wewe . Utakuwa ulisoma mwalimu nyerere kivukoniTanzanian ninayoifahamu haijawahi kuwa na kipanga wa sheria anayeitwa Othman Masoud. Acha kutuletea story za uongo.
Kwanini mnaung'ang'ania muungano wakati wazanzibar waliowengi hawautaki?Ni moja ya watu watakaosababisha muungano uvunjwe na baadaye ataishi kwenye historia akilaumiwa na yeye akijilaumu. kwasababu sasa hivi tunapowashikilia kama watoto wanaona wabara hatuna faida, ila tukiachana watatutafuta kwa tochi.
ni wazanzibar gani unaosema hawautaki? kati ya wale wavivu wanaorandaranda mtaani kule zenji kujiuza kwa vibibi vya kizungu, na wapemba waliojaa Kigamboni, DSM, hadi mwanza ukienda unawakuta, wanamiliki ardhi na majumba kwa uhuru tu (wakati wewe ukienda zenji kutafuta kiwanja/nyumba utaitwa chogo na hautapata, hata ukipata labda kam mwekezaji, kama wa kawaida utawindwa na raia hadi uuze mwenyewe). kaeneo kenyewe kadogo mno, wanafaidika kwetu kuliko sisi kufaidika kwao. leo tu ukisema ufukuze wapemba kigamboni na dsm warudi kwao, familia zitakazolia na kusaga meno kule zenji ni nyingi mno kwasababu wanakula kwa matunda ya ndugu zao wanaochumia huku.Kwanini mnaung'ang'ania muungano wakati wazanzibar waliowengi hawautaki?
Kwani kuishi sehemu nikosa kisheria ni wangapi wanaoishi sehemu tofauti za dunia wamejenga na kila kitu lakni hakuna muunganiko uliopo kiufupi suali langu hukujibu.ni wazanzibar gani unaosema hawautaki? kati ya wale wavivu wanaorandaranda mtaani kule zenji kujiuza kwa vibibi vya kizungu, na wapemba waliojaa Kigamboni, DSM, hadi mwanza ukienda unawakuta, wanamiliki ardhi na majumba kwa uhuru tu (wakati wewe ukienda zenji kutafuta kiwanja/nyumba utaitwa chogo na hautapata, hata ukipata labda kam mwekezaji, kama wa kawaida utawindwa na raia hadi uuze mwenyewe). kaeneo kenyewe kadogo mno, wanafaidika kwetu kuliko sisi kufaidika kwao. leo tu ukisema ufukuze wapemba kigamboni na dsm warudi kwao, familia zitakazolia na kusaga meno kule zenji ni nyingi mno kwasababu wanakula kwa matunda ya ndugu zao wanaochumia huku.
namaanisha, Wazanzibari wanafaidika sana na kuwepo kwenye muungano huu kuliko watanganyika wanavyofaidika. na wakiendelea na chokochoko hizi kuna siku chizi atashika nchi na atauvunja mchana kweupe ili waende kwao, hapo ndipo watakapotakiwa kubeba mizigo yao yote toka kigamboni, dsm, Tanga hadi Mwanza warudi nayo zenji wakajazane kwenye kile kisiwa kinachopungua ukubwa (kinaliwa na maji) kila miaka inavyoenda. wao wanaota ndoto kwamba wakiwa peke yao watakuwa kama Oman, au uarabuni, wenzeo waarabu wana mafuta, wao hata ya kujipaka tu hawana, wanategemea utalii, na hata wakiweka bandari huru bado wataihitaji Tanganyika sana kuvusha mizigo kwenda nchi zisizo na bandari (wasitukane mamba) eg.Zambia, Congo, rwanda, burundi, Uganda etc. waache theory za kudanganywa. siku wakija kutoka, watajaribu kurudi na haitawezekana. Wabara mara nyingi tuko flexible nao kwasababu tumewazoea kama ndugu zetu, hatufaidiki lakini kuwaacha wasiwe ndugu inatuuma kwasababu tumekuwa pamoja miaka mingi. wenye akili wanalijua hili.Kwani kuishi sehemu nikosa kisheria ni wangapi wanaoishi sehemu tofauti za dunia wamejenga na kila kitu lakni hakuna muunganiko uliopo kiufupi suali langu hukujibu.
hivi nikikuuliza hapa leo, bara tunafaidika na nini na zanzibar, utanitajia kitu hata kimoja?...nothing! ila Zanzibar mnafaidika sana na bara kwasababu mnamiliki ardhi mpendavyo mkija huku, mnaajiriwa ajira za public hadi huku bara, mnafanya biashara na kuishi kama raia. sisi wabara huko kwenu hatuajiriwi, hatumiliki ardhi kwasababu mnaona itaisha na tukiishi huko mnatubagua hatuishi kwa raha mnasahau yote tunayowafanyia mkiwa bara. huku bara wazanzibari wamejaa na wanapata fursa.Ni nani anamng'ang'ania mwenzake kati ya Tanganyika na Zanzibar.Mtanganyika acha unafiki kujifanya kumjali mtu ambaye hakutaki wala hataki ushirika na wew. Mtanganyika unatumia mpaka vifaru ili Zanzibar isijiondoe kwa muungano.
Awe makini wasije mpiga sum mala nying ccm inapenda wanachama kondoo sio Hy flammableNi mtu wa Serikali toka azaliwe anapambania ugali wake Seikalini anajulikana kwa misimamo mikali ya serikal tatu lakini FVP Zanzibar ni ceremonial, sidhani kama atafutukuta.
Son of gunHujui hata maana ya neno kipanga wewe . Utakuwa ulisoma mwalimu nyerere kivukoni
Maelezo mengi swali hujibu.namaanisha, Wazanzibari wanafaidika sana na kuwepo kwenye muungano huu kuliko watanganyika wanavyofaidika. na wakiendelea na chokochoko hizi kuna siku chizi atashika nchi na atauvunja mchana kweupe ili waende kwao, hapo ndipo watakapotakiwa kubeba mizigo yao yote toka kigamboni, dsm, Tanga hadi Mwanza warudi nayo zenji wakajazane kwenye kile kisiwa kinachopungua ukubwa (kinaliwa na maji) kila miaka inavyoenda. wao wanaota ndoto kwamba wakiwa peke yao watakuwa kama Oman, au uarabuni, wenzeo waarabu wana mafuta, wao hata ya kujipaka tu hawana, wanategemea utalii, na hata wakiweka bandari huru bado wataihitaji Tanganyika sana kuvusha mizigo kwenda nchi zisizo na bandari (wasitukane mamba) eg.Zambia, Congo, rwanda, burundi, Uganda etc. waache theory za kudanganywa. siku wakija kutoka, watajaribu kurudi na haitawezekana. Wabara mara nyingi tuko flexible nao kwasababu tumewazoea kama ndugu zetu, hatufaidiki lakini kuwaacha wasiwe ndugu inatuuma kwasababu tumekuwa pamoja miaka mingi. wenye akili wanalijua hili.
Zanzibar ni nchi,tuachieni nchi yetu,hizo speculation zako eti tutapata shida hazina maana.Hatuwahitaji lkn nyie mnatung'ang'ania na kujidai eti mntusaidia. Unalazimisha kumsaidia mtu ambae hakutaki na wala haoni umuhimu wako kwake.hivi nikikuuliza hapa leo, bara tunafaidika na nini na zanzibar, utanitajia kitu hata kimoja?...nothing! ila Zanzibar mnafaidika sana na bara kwasababu mnamiliki ardhi mpendavyo mkija huku, mnaajiriwa ajira za public hadi huku bara, mnafanya biashara na kuishi kama raia. sisi wabara huko kwenu hatuajiriwi, hatumiliki ardhi kwasababu mnaona itaisha na tukiishi huko mnatubagua hatuishi kwa raha mnasahau yote tunayowafanyia mkiwa bara. huku bara wazanzibari wamejaa na wanapata fursa.
kwa taarifa yako, wabara wanawashilikia wazenji kwasababu ya undugu tu, tumekuwa ndugu miaka mingi na kutengana kutatuuma. ukiishi na mtu miaka mingi hata kama mtaachana kwa kugombana lakini kuna maumivu. mnamiliki majumba hapa, fursa zote mmepewa ila mnachotaka ni kujitenga na kuungana na waarabu as if mtaamka asubuhi na kuwa matajiri kama wao, wenzenu wana mafuta, ninyi mna nini? siku muungano ukivunjika mtakuja kutafuta nafasi ya kuuunga na hamtakuja kuipata. shauri zenu.