7ve
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,332
- 3,267
Wewe jamaa acha kutuchafua watu wa kijiji chetu sio cha hao wanyamanyafu.Mkuu hapo pa ikuti umekosea hawa jamaa wanapatika mkondo wa chuo cha magereza ukipita pale chuo kuelekea juu ndio kijiji cha hao malamanyafu ikuti iko nyuma ya magereza na huo mto songwe upo mpkani mwa tanzania na malawi kutoka kwa hao malamanyafu ni zaidi ya km 200