Mfahamu Jaili: Chinja chinja aliyevuma Mbeya na Mama yake aliyekufa na kufufuka mara tatu

Tulikuwa tunaogopa sana kupita njia hiyo.uyo jamaa alitufanya watu wa nzovwe (jkt,),tuliokuwa tunapita shotcut kwenda docks(mwanjelwa),tupite rami kama magar
 
lol
Jombi alikua anatisha kuliko hata RAMBO

Kuna mzee mmoja alitusimulia kua alikua na kigari flani hivi aina ya staut, city center mwanjelwa katika harakati zake za kununua nunua bidhaa kwa ajili ya matumizi nyumbani maana alikua akiishi nje kidogo ya mji.

Sasa alikua anasikia tu fununu kua jombi hivi mala jombi vile ila hajawahi hata kumuona. Akiwa yuko ndani ya gari akastukia tu kuna taita kasimama mlangoni mwa gari yake upende wa dereva anamuomba funguo ya gari na wakati huo gari ipo silence

Daah huyo mshua akapigwa na butwaa mbona kama watu wamepungua gafla hapa around na wakati dakika chache zilizopita kulikua na nyomi la watu kulikoni.

Mzee kengele ya hatari ikagonga kichwani ikabidi akanyage mafuta kumkwepa jamaa maana alishaingiza mkono mfukoni ishara ya kutoa chuma

Aisee kumbe naye jombi alikua na pila lake amelipaki pembeni alivyoona mshua kasanuka naye akajikoki kwenye gari zikaanza racing kumfukuza mzee ili ampokonye staut yake.

Mzee ananiambia kufika maeneo ya chalangwa alipita kibati jombi alikua nameachwa nyuma sana alipofika pale chalangwa akawauliza wakazi wa pale, "hamjaona gari kaki aina ya stauti imepita muda huu?" Raia wakamjibu "kwa muda huu hapa hakuna gari iliyopita ila kuna ndege imepita kimo cha chini kwa apeed ya ajabu na ina rangi ya kaki"
 
Mkuu hapo pa Ikuti umekosea hawa jamaa wanapatika mkondo wa chuo cha magereza ukipita pale chuo kuelekea juu ndio kijiji cha hao malamanyafu Ikuti iko nyuma ya magereza na huo mto Songwe upo mpkani mwa Tanzania na Malawi kutoka kwa hao malamanyafu ni zaidi ya km 200
Mkuu samahani, hivi ni banamanyafu au walamanyafu? Jina lilitokana na nini?
 
Back
Top Bottom