Mfahamu Jaili: Chinja chinja aliyevuma Mbeya na Mama yake aliyekufa na kufufuka mara tatu

7ve

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
893
1,000
Mkuu hapo pa ikuti umekosea hawa jamaa wanapatika mkondo wa chuo cha magereza ukipita pale chuo kuelekea juu ndio kijiji cha hao malamanyafu ikuti iko nyuma ya magereza na huo mto songwe upo mpkani mwa tanzania na malawi kutoka kwa hao malamanyafu ni zaidi ya km 200
Wewe jamaa acha kutuchafua watu wa kijiji chetu sio cha hao wanyamanyafu.
 

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
48,955
2,000
Kuna mzee mmoja naye alikuwa anaitwa Mwanjisi alifanya biashara ya Hiace, sifa ya gari ya ni ilikuwa imechoka sana naye alikuwa na stori za mauza uza. Hivi bado yu hai?

Sent using Jamii Forums mobile app
Baba Bato alikuwa anavutavuta Sana bangi, ndiye mwanzilishi wa route ya Majengo Iyela kupitia Uwanja wa Ndege wa zamani.
 

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
8,861
2,000
Unamkumbuka Mzee Miraji wa Joka Road? Alikuwa na nyumba yake mtaa huo, nyumba ilikiwa na mahindi yamelimwa na yametoa mbelewele, Sasa kukawa na jamaa wanachunga ng'ombe, wakaingiza mifugo kwenye hicho kibustani cha mbele ya nyumba, wale wanyama wakapigwa upofu, na wale vijana wachungaji wakahangaika siku nne kwenye hicho kibustani wanatafuta njia ya kutokea wasiione.
Hili neno mbelewele sijalisikia siku nyingi sana
 

kenyanah

JF-Expert Member
May 24, 2017
251
250
Mwishoni mwa miaka ya sabuni niliwahi kusikia kisa Cha jamaa huyu...ukisikia mtu analia " nakufaaaa" kwenye msitu ule usikimbilie. Ndivyo tuliambiwa chinjachinja alikuwa anafanya vitu vyake...
Mwaka wa sabuni ulimaanisha mwaka wa kujichakachua mzee
 

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
6,377
2,000
Ukifika Mbeya Mjini kuna eneo linaitwa Forest Mpya.

Siku za nyuma eneo hilo lilijulikana tu kama Forest kwa kuwa kulikuwa na msitu mkubwa sana wa miti ya milingoti ambayo Kama huijui ni miti inayozalisha nguzo za umeme na za TTCL...
We Bujibuji kweli ni wa Mbeya. Nami ingawaje kwetu Nyegezi Mz, lakini nimekaa mitaa hiyo.

Unafahamu hadi posolo?
 
Top Bottom