Mfahamu Jaili: Chinja chinja aliyevuma Mbeya na Mama yake aliyekufa na kufufuka mara tatu

Tumecheza Sana kinyengo na kuiba Sana dagio pale Posta kwa ajili ya kuundia magari ya waya
Hahaha we Bujibuji umenikumbusha dagio ....nina miaka 20 sija lisikia hilo neno dagio hahahaha nime kumbuka mbali sana wazee wa kuunda magari ya waya watu wanaunda mpaka mabasi ya waya yana nesa kabisa.ila kuna maneno mengine ulitakiwa uyasahau tu mkuu au bado yanatumika mpaka leo.
 
Walimkosa kosa aisee ilibaki kidogo wamtoboe na nondo

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kuna jirani yetu alikua anatoka lindo job ile alfajiri, kafika sehemu wapiga nondo hao wakampa ya utosini ila bahati nzuri aliwahishwa hospitali akapona, ila hiyo sehemu haiotagi nywele kovu tu😪

Enzi hizo kweli Mbeya ilikua haijatulia ila sahivi kupo poa sana, watu wake wakarimu.
 
Mlima Rungwe, Kijungu, Lake Ngozi, Daraja la Mungu, mbuga ya maua ya Kitulo ni very potential lakini tumekata tamaa kwenye kuvitangaza.
Kashfa za wachuna Ngozi pia nazo ziliifanya Mbeya iogopeke.
Tukio la Idweli la kuteka gari la maiti na kumvua maiti nguo na kuwapora wasindikiza maiti vilisababisha watu wa Mbeya waonekane makatili sana
Bila kuwasahau watekaji wakona ya mkoa Chunya to Mbeya road
 
Aisee kuna jirani yetu alikua anatoka lindo job ile alfajiri, kafika sehemu wapiga nondo hao wakampa ya utosini ila bahati nzuri aliwahishwa hospitali akapona, ila hiyo sehemu haiotagi nywele kovu tu😪

Enzi hizo kweli Mbeya ilikua haijatulia ila sahivi kupo poa sana, watu wake wakarimu.
Nikija ntakuzungusha maeneo mengi na kukupa simulizi zake za kusisimua.
Unajua kwanini Soweto ya Mwanjelwa Block Q panaitwa hivyo?
 
Back
Top Bottom