Meya CHADEMA azikataa milioni 200 za CCM

Meya CHADEMA azikataa milioni 200 za CCM

Huyo atakufa maskini...na 2020 halambi udiwani wala jimbo arudi kwao akalime mihogo
Kweli bado tuko nyuma, rushwa ni adui wa haki nawashangaa watu kama nyie mnaoshadadia vitendo hivi vichafu
 
Walimfuata baadhi ya viongozi. Kwanini asiwataje? Anaogopa nini kuwataja?
 
Madai ya Mstahiki Alex Kimbe ya kutishwa na ccm kuuawa asipopokea ile mil 200 ya kuunga mkono juhudi yamefika patamu , hii ni baada ya kuwepo madai ya kurekodiwa kwa HD kwa mamluki waliotumwa kuleta hela hiyo akiwemo mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi , ambaye amebainika pia kutumia mitandao ya kijamii kumchafua meya huyo kwa kutumia majina bandia.

Hii ndio sababu ya ccm Mkoa pamoja na ofisi ndogo Lumumba kushindwa kukanusha tuhuma hizo chafu na za kufedhehesha zinazogusa moja kwa moja Mwenyekiti wa ccm Taifa , Tuhuma za rushwa ya kutengeneza inayomkabili Mh Kimbe , pamoja na mambo mengine imesababishwa na yeye kugoma kutoa flash / cd iliyotumika kurekodia watoa rushwa ya ushawishi wa mil 200 ( imehifadhiwa Chadema Makao Makuu )

Natoa wito kwa TAKUKURU Iringa kuacha kutumikishwa kwa malengo binafsi , wakuu wa mikoa wanapita tu lakini Taasisi hii ya umma itabaki , wasijiingize kwenye michezo michafu maana hawana kinga yoyote huko mbeleni .
Hiyo flash disk inafanya nini kwenye makao makuu mafichoni, mbona mengine hamukawii kuyatangaza, ama ufundi wa utengenezaji haujakamilika, na sasa mnaanza kuchomekeza taratibu siasa za uchochezi.

Ukimshika mwizi na ushahidi, jee ushahidi unauficha au unauweka wazi. Kwenye hili msitafute huruma za umma, tuwekeani hizo clips tujue ukweli, hata sisi wanachama wa ccm wengi tutawaunga mkono, tuko wengi hatupendi siasa za nguvu na mabavu, lakini pia hatupendi siasa za kinafiki , laa sivyo mtazidi kutoaminika.
 
Haya majitu ni ya hovyo sana!!
Watu hovyo ni wale wenye ushahidi na wakauficha, kama hamna ushahidi wacheni jazba za kijinga. Ushahidi ni kitu muhimu sana kukufanya ukweli wako uonekane na upate support ya kila upande
 
Kama alichosema Erythrocite ni ukweli, unafikiri copies za hizo audio clips zitakuwa makao makuu peke yake?
Nyingine ziwekwe mitandaoni, ndio maana mnasema humu kuqa ziko ufipa, ili kesho mseme haiwezekani kuwekwa hadharani, chama kitakuwa kinavunja sheria, hiyo ni janja ya kupotosha umma , kwa kutumia siasa chafu na hamna ushahidi wowote. POLITICS OF MUD SLINGING
 
Watu hovyo ni wale wenye ushahidi na wakauficha, kama hamna ushahidi wacheni jazba za kijinga. Ushahidi ni kitu muhimu sana kukufanya ukweli wako uonekane na upate support ya kila upande
Tulipotoa wa Mnyeti badala ya kuchukua hatua mkampandisha cheo Kutoka DC hadi RC , huyu mtafanyaje maana tayari ni RC
 
Tulipotoa wa Mnyeti badala ya kuchukua hatua mkampandisha cheo Kutoka DC hadi RC , huyu mtafanyaje maana tayari ni RC
Hatukupandishwa vyeo wanaCCM wote, wako wachache waliopandishwa vyeo kwa ufisadi, kama ilivyo kwenye vyama vingine hata chenu. Hatukuunga mkono na wala hawawezi kutetewa na uongo. Chama chako hakikujrngeka kwa siasa za kuvunjika nia ama kushindwa kujaribu, iwapo idara husika zilizima zile za ma DCC , jee uwezo wenu umebakia kuuficha ufisadi ufipa.
 
Ahaaa haaa haaa
tutajuaje kazikataa.
Teh teh teh tihiii
 
Back
Top Bottom