Meya CHADEMA azikataa milioni 200 za CCM

Sasa mbonaaa hao waliopelekwa ala wliopeleka hiyo rushwa ili ale hawakamatwi?.
 
kuna mwingine kule Arusha aliwahi kusema amevamiwa, mbwa wake akapambana hadi akapigwa risasi. Kwakuwa mbwa yule alikufa kifo kisicho kuwa chake akafanyiwa mazishi ya kitaifa yaliohudhuriwa na viongozi wajuu. aaaisee mazishi ya mbwa.

Leo mwingine kakutwa na kesi ya jinai, kushawishi na kupokea rushwa. Bwege majitu mazima yanatunga uongo ooooh alitishiwa oooh aligoma kutoa CD ya wala rushwa.

Ifike sehemu tuwe wakweli, Inamaaana ndani ya Chadema hakuna wabaya, waovu, walarushwa, majizi, na wanafiki?
 
Rekodi za akina Nasari akili kubwa mpka leo hakusaidia
 
Madai ya Mstahiki Alex Kimbe ya kutishwa na ccm kuuawa asipopokea ile mil 200 ya kuunga mkono juhudi yamefika patamu , hii ni baada ya kuwepo madai ya kurekodiwa kwa HD kwa mamluki waliotumwa kuleta hela hiyo akiwemo mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi , ambaye amebainika pia kutumia mitandao ya kijamii kumchafua meya huyo kwa kutumia majina bandia.

Hii ndio sababu ya ccm Mkoa pamoja na ofisi ndogo Lumumba kushindwa kukanusha tuhuma hizo chafu na za kufedhehesha zinazogusa moja kwa moja Mwenyekiti wa ccm Taifa , Tuhuma za rushwa ya kutengeneza inayomkabili Mh Kimbe , pamoja na mambo mengine imesababishwa na yeye kugoma kutoa flash / cd iliyotumika kurekodia watoa rushwa ya ushawishi wa mil 200 ( imehifadhiwa Chadema Makao Makuu )

Natoa wito kwa TAKUKURU Iringa kuacha kutumikishwa kwa malengo binafsi , wakuu wa mikoa wanapita tu lakini Taasisi hii ya umma itabaki , wasijiingize kwenye michezo michafu maana hawana kinga yoyote huko mbeleni .
Huyu meya na hao viongozi wa chadema mbona wamekosea sana, wabangojea nini mpaka wanatengezewa mitego ya rushwa na huku walikuwa nayo hiyo recording siku nyingi, sasa walikuwa wanangoja wakamatwe ndio waitumie.

Wame warecodi walipueni hao wahalifu, wana ccm hatuungi mkono ufisadi wa aian yoyote, ama sivyo mtaonekana watu wa tararira tuu, na ni kawaida yenu , tusisau ile vidio ya mabomu ya arusha bado hamjaiweka wazi.
 
Nimeamini CDM huwezi kuiua kwa rushwa... nimefikia hatua hii baada ya zoezi la usajili kukamilika bila ununuzi wowote ule wa walau mjumbe mmoja wa Kamati Kuu.

Ukitaka kukiua chama cha siasa ni lazima uweke mkakati wa kuigawa Kamati Kuu pande mbili, hilo limeshindikana kabisa.

CDM upo vizuri saana.
 
Madai ya Mstahiki Alex Kimbe ya kutishwa na ccm kuuawa asipopokea ile mil 200 ya kuunga mkono juhudi yamefika patamu , hii ni baada ya kuwepo madai ya kurekodiwa kwa HD kwa mamluki waliotumwa kuleta hela hiyo akiwemo mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi , ambaye amebainika pia kutumia mitandao ya kijamii kumchafua meya huyo kwa kutumia majina bandia.

Hii ndio sababu ya ccm Mkoa pamoja na ofisi ndogo Lumumba kushindwa kukanusha tuhuma hizo chafu na za kufedhehesha zinazogusa moja kwa moja Mwenyekiti wa ccm Taifa , Tuhuma za rushwa ya kutengeneza inayomkabili Mh Kimbe , pamoja na mambo mengine imesababishwa na yeye kugoma kutoa flash / cd iliyotumika kurekodia watoa rushwa ya ushawishi wa mil 200 ( imehifadhiwa Chadema Makao Makuu )

Natoa wito kwa TAKUKURU Iringa kuacha kutumikishwa kwa malengo binafsi , wakuu wa mikoa wanapita tu lakini Taasisi hii ya umma itabaki , wasijiingize kwenye michezo michafu maana hawana kinga yoyote huko mbeleni .
Huko ccm wote akili zao za kushikiwa huyo hepi jana jipya anatafuta sifa kwa mwenyekiti wake
Screenshot_2018-10-15-13-11-50-1.jpeg
 
Mwambie akanywe chai 2020 siyo mbali yaani ahongwe mil 200 kwa thamani gani aliyonayo
 
Kuna mambo ya kuchekesha sana, ukiandika hata lisiloeleweka cocochanel na Magonjwa Mtambuka lazima wakuunge mkono kwa ku like post yako wewe nawe unangojea upuuzi wao ufanye sawa nao.
Hiyo imenikumbusha nguvu ya Lumumba, kwamba MTU wenu hata apitiwe na kupumua pruuu! na sauti ikapita kwenye mic basi lazima atashangiliwa tuu

Acha wivu

Nawe toa like huone kama hautapokea pia.. eeeeh

Nguvu ya kukutana kwenye forum bila kujuana na kuburudika pamoja ndio hii.. sio nyie mnamaumivuuuu kisa kuisoma namba zaidi chini ya wenye chama chenu cha familia.
 
S
Madai ya Mstahiki Alex Kimbe ya kutishwa na ccm kuuawa asipopokea ile mil 200 ya kuunga mkono juhudi yamefika patamu , hii ni baada ya kuwepo madai ya kurekodiwa kwa HD kwa mamluki waliotumwa kuleta hela hiyo akiwemo mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi , ambaye amebainika pia kutumia mitandao ya kijamii kumchafua meya huyo kwa kutumia majina bandia.

Hii ndio sababu ya ccm Mkoa pamoja na ofisi ndogo Lumumba kushindwa kukanusha tuhuma hizo chafu na za kufedhehesha zinazogusa moja kwa moja Mwenyekiti wa ccm Taifa , Tuhuma za rushwa ya kutengeneza inayomkabili Mh Kimbe , pamoja na mambo mengine imesababishwa na yeye kugoma kutoa flash / cd iliyotumika kurekodia watoa rushwa ya ushawishi wa mil 200 ( imehifadhiwa Chadema Makao Makuu )

Natoa wito kwa TAKUKURU Iringa kuacha kutumikishwa kwa malengo binafsi , wakuu wa mikoa wanapita tu lakini Taasisi hii ya umma itabaki , wasijiingize kwenye michezo michafu maana hawana kinga yoyote huko mbeleni .
Seat ya mbele mkuu Kama bado ipo!!!!!!
 
Back
Top Bottom