Meya CHADEMA azikataa milioni 200 za CCM

Kwahiyo amerekodi ila kuitoa na wengine tuone hataki?
 
Madai ya Mstahiki Alex Kimbe ya kutishwa na ccm kuuawa asipopokea ile mil 200 ya kuunga mkono juhudi yamefika patamu , hii ni baada ya kuwepo madai ya kurekodiwa kwa HD kwa mamluki waliotumwa kuleta hela hiyo akiwemo mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi , ambaye amebainika pia kutumia mitandao ya kijamii kumchafua meya huyo kwa kutumia majina bandia.

Hii ndio sababu ya ccm Mkoa pamoja na ofisi ndogo Lumumba kushindwa kukanusha tuhuma hizo chafu na za kufedhehesha zinazogusa moja kwa moja Mwenyekiti wa ccm Taifa , Tuhuma za rushwa ya kutengeneza inayomkabili Mh Kimbe , pamoja na mambo mengine imesababishwa na yeye kugoma kutoa flash / cd iliyotumika kurekodia watoa rushwa ya ushawishi wa mil 200 ( imehifadhiwa Chadema Makao Makuu )

Natoa wito kwa TAKUKURU Iringa kuacha kutumikishwa kwa malengo binafsi , wakuu wa mikoa wanapita tu lakini Taasisi hii ya umma itabaki , wasijiingize kwenye michezo michafu maana hawana kinga yoyote huko mbeleni .
Mkuu, hio rikod tutaisikia lini?
 
Ikibainika hivyo tunataka mamlaka ya uteuzi wa huyo RC imchukulie hatua stahiki. Nchi hii hatutaki kumwona hata mmoja wetu akionewa,akionewa mmoja tumeonewa wote na haki ni msingi wa maendeleo bila hiyo baraka hupita mbali na kusali kwetu huwa nibure kabisa
 
Hawa yatawakuta hata iwe miaka mingapi. makatili wa Ethiopia hawakutegemea haya
Ethiopia PM: Security agencies committed 'terrorist acts'
Abiy Ahmed said security institutions tortured citizens in order for government to remain in power.

Ethiopia PM: Security agencies committed 'terrorist acts'
 
hili La Iringa limeharibiwa na vibwagizo vya Mkuu Wa mkoa pamoja na Mkuu WA wilaya ndugu kasesela. kitendo cha kuwa wasemaji suala La takukuru imeoneshwa takukuru walitumiwa. haiwezekani Mkuu Wa mkoa awe msemaji Wa takukuru hasa kesi ya rushwa inayomuhusu mpinzani wao kisiasa. mahakama isiingie kwenye mtego huu Wa kisiasa.
 
Ikibainika hivyo tunataka mamlaka ya uteuzi wa huyo RC imchukulie hatua stahiki. Nchi hii hatutaki kumwona hata mmoja wetu akionewa,akionewa mmoja tumeonewa wote na haki ni msingi wa maendeleo bila hiyo baraka hupita mbali na kusali kwetu huwa nibure kabisa
Ikiwekwa hapa tu Happi anakuwa makamu wa Rais.
 
Madai ya Mstahiki Alex Kimbe ya kutishwa na ccm kuuawa asipopokea ile mil 200 ya kuunga mkono juhudi yamefika patamu , hii ni baada ya kuwepo madai ya kurekodiwa kwa HD kwa mamluki waliotumwa kuleta hela hiyo akiwemo mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi , ambaye amebainika pia kutumia mitandao ya kijamii kumchafua meya huyo kwa kutumia majina bandia.

Hii ndio sababu ya ccm Mkoa pamoja na ofisi ndogo Lumumba kushindwa kukanusha tuhuma hizo chafu na za kufedhehesha zinazogusa moja kwa moja Mwenyekiti wa ccm Taifa , Tuhuma za rushwa ya kutengeneza inayomkabili Mh Kimbe , pamoja na mambo mengine imesababishwa na yeye kugoma kutoa flash / cd iliyotumika kurekodia watoa rushwa ya ushawishi wa mil 200 ( imehifadhiwa Chadema Makao Makuu )

Natoa wito kwa TAKUKURU Iringa kuacha kutumikishwa kwa malengo binafsi , wakuu wa mikoa wanapita tu lakini Taasisi hii ya umma itabaki , wasijiingize kwenye michezo michafu maana hawana kinga yoyote huko mbeleni .
Iweke hapa hiyo clip acha maneno
 
Kwa SAA za wapi? Maana JF IPO dunia nzima!
Wakati wewe ukiona usiku wa manane kuna mwingine ndio asubuhi na mwingine anakula ugali wa mchana. JF rotating 24/7
Csiemu wamejaa Mabashite wao wanafikiri kila mtu humu jf yupo tz na kila atakayemkosoa jiwe sio mzalendo na anatumiwa na wazungu.
 
Hata kwa kideo alikuwa anaongea mwili ukionyesha mengine.. lazima walimwambia usipoongopa kwa umma utayapata ya wenzetu tuliodai hatujui walipo.. eeeh
Hivi kwa nn wewe,mgonjwa mtambuka,Isis pamoja na cocochanel huwa comment zenu zinafatana hapo kwa hapo?halafu mnalike comment zenu nyie kwa nyie au huyu ni mtu mmoja acconut tofaut?
 
Back
Top Bottom