Kila siku tumekuwa tukishangaa hivi wanaounga "Juhudi" waga ni wabunge na madiwani wa kuchaguliwa tu, mbona wale wa viti maalum hawaungi???
Kumbe kodi zetu ndio zinatumika kuchochea uungwaji juhudi. Kwa hali hii ndio maana ulipaji kodi kwa wananchi wengi inakuwa ni shida kwani haya sio matumizi yake na kisha tena nchi inazunguka na bakuli kwa akina WB, IMF na wafadhili wengine kuomba msaada. Very Shameful and Pathetic.