Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,451
- 283,767
Mungu mbariki Mh Mstahiki Meya Kimbe
Umasikini wa akili na hela wa wazazi wako usiulazimishie kwa wengineHuyo atakufa maskini...na 2020 halambi udiwani wala jimbo arudi kwao akalime mihogo
Wasaliti wanalipwa hadi milioni 800 , mfano ni Waitara huku wewe unapigishwa miayo tu !Nani ana muda wa kumpa mtu milioni zote hizo
Ndimgaya sidaHuyo atakufa maskini...na 2020 halambi udiwani wala jimbo arudi kwao akalime mihogo
Ni aibu kubwa sana kwa nchi hiiHapa pagumu sana.
Huna lolote. Huyo meya wako tayari keshanasa mtegoni. Mungu ibariki TAKUKURU....Natoa wito kwa TAKUKURU Iringa kuacha kutumikishwa kwa malengo binafsi , wakuu wa mikoa wanapita tu lakini Taasisi hii ya umma itabaki , wasijiingize kwenye michezo michafu maana hawana kinga yoyote huko mbeleni .
Ni aibu kubwa sana kwa nchi hii
Kwa SAA za wapi? Maana JF IPO dunia nzima!Na wewe pia ni akili kubwa ndio maana umepost saa nane kasoro usiku
HahahahaHuna lolote. Huyo meya wako tayari keshanasa mtegoni. Mungu ibariki TAKUKURU.
Kwa SAA za wapi? Maana JF IPO dunia nzima!
Wakati wewe ukiona usiku wa manane kuna mwingine ndio asubuhi na mwingine anakula ugali wa mchana. JF rotating 24/7