CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
- Thread starter
- #81
umezisikia
asiye na mwana. . .
Akatafute mtoto wa kambo alee.
Mti wenye matunda...
ndio unaopopolewa mawe ya fatuma!akatafute mtoto wa kambo alee.
Mti wenye matunda...
ndio unaopopolewa mawe ya fatuma!
Joka la mdimu..........
hulia kivulini,
ukimuona DHAIFU?......
Hufunzwa na ulimwengu.
Akunyimae kunde?
atakupa njegere
mimi nyumba ya udongo. . .
ukinimwagia maji namomonyoka
kila king'aacho.....
Kimepitia kwa Sonara.
Mavi ya kale...
Duuuuuuu...
huwezi mjua aliyeyanya!
mla cha mwenzie
Na chake hakiko mbioni kumwegwa.
Ganda la muwa la jana....
litakuwa limekauka
ukipenda boga. . .
litakuwa limekauka
ukipenda boga. . .
penda na maua yake
siri ya maiti