CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
- Thread starter
- #21
chungu kaona kivuno
baniani mbaya.....
kiatu chake dawa
mficha maradhi, . . .
chungu kaona kivuno
baniani mbaya.....
sababu hapaki mkorogo
ndo.....ndo.....ndoooo?
hazai
asiyefunzwa na mamaye
si chururu
mtaka cha uvunguni . . .
kiatu chake dawa
mficha maradhi, . . .
kiatu chake dawa
mficha maradhi, . . .
vya kabati havioni
Mchumia juani?
ufunzwa na mama wa kambo!
Mtoto umleavyo?
kwa mswala upitao
usiteme big G
Kwa karanga za kuonjeshwa
Tenda wema....!
ndivyo akuavyo
chanda chema. . .
kwa mswala upitao
usiteme big G
Ni cha chadema!
Akumulikaye mchana....!
uende zako
fumbo mfumbie mjinga. . .
Umeniacha hoi na methali yako my dear!nini tena my king?
...amechoka kufulia kipande.
Mla mla leo...