Message yake ndiyo inayoniumiza zaidi

Message yake ndiyo inayoniumiza zaidi

huo mchepuko wako wa baadae ......... ila kumbuka kinga.. maana kashajiita malaya..
 
Hivi wanaume ndio wanaumizwa zaidi?sioni thread za wadada jamani.Pole mkuu ni ngumu ila pambana kiume na songa mbele
 
Au unataka kufa kabla ya wakati wako endelea na huyo mtu aliye kueleza wazi
 
Nitumie no. yake ya simu nikatoe posa Teh Teh Ter.
Mshukuru Mungu kwa kukutanisha na mtu mkweli, Ulimwengu wa leo ulivyojaa wanafiki na wazandiki una bahati. Piga MOYO konde songa mbele, kama huna ujasiri huo jaribu kuwaona WASHAURI wa masuala ya saikolojia.
 
Umenikumbusha bro wangu alipigwa na Dad amuache binti mmoja akamuliza ivi ebu nambie ukweli unampendea nini Yulewanamke ni Malaya sana na kuna time namuona na marafikii zangu bar, bro akamwambia dad since umetakaa ukweli nakwambia , Huyu demu ni mtamu kupita maelezo.. Nilichea chumbanii...

maneno yangu yanaukweli acha malaya aitwe malaya!!!!!!!!! siri ya mtungi.....
 
Wana Jf salamu
kwenu

Let me Go straight Kwenye simu ya mpenzi wangu nilishawai kukuta sms ya
mapenzi aliyotumiwa na boy mwengine, nakumbuka tukio hilo lilitokea
mwezi wa March mwaka huu,tuligombana sana, aliniomba msamaha, baadae
nikamsamehe, tukaendelea.

Jana limetokea tena, wakati tumepumzika kuna simu alipigiwa namna
alivyokuwa akiongea kwa kumung'unya mung'unya maneno kama hana meno
mdomoni nikahisi kuna jambo nyuma ya pazia.

Alipomaliza nikaichukua simu yake kwa nguvu, kwenye inbox yake nikakuta
mambo yale yale. Tuligombana sanaaa.

Leo asubuhi kanitumia sms
'' thanks for everythn Michael, i appreciate ur a gud boy, wacha
nisikusumbue tena achana na mm ni malaya,hautoniweza, live ur life, find
any girl and marry but ukipenda nitaendelea kuwa rafik yako"

Dah hiyo sms imeniumiza sana kwa sababu bado nampenda hapa nahisi moyo
unauma sana.

kuwa na aman binti akikutumia sms kama iyo eti mm ni malaya? iyo haipo anakupenda tho kuna kasungura kanamvizia wee komaa unapendwa sana
 
Ukisoma vizuri huo wimbo wa Lucky Dube nilioutupia hapo juu ubeti wa kwanza utaona Mwanamke anachomwambia mwanamme :-? Kwamba hawa watu wanahitaji sana uwepo wetu lakini kama haupo na kama huoni na kufeel presence yake na.kumchukulia kama Mtumishi wako wa ndani hivi@):- madhara yake ndio hayo.....Jiulize how did you treat
her? Usijiweke upande wa mtenda mema tu
Mi nimeachana na mpnz wangu sababu hizo hizo,halafu anakiri kabisa "Afrique najua huofii kupoteza chochote kwa mahusiano haya kuvunjika"nami nikamwangalia tu,kwa nini hakusimamia nafasi yake kama mwanaume ili nisiwe na ujasiri wa kukubali mahusiano kufa??
Nakujifariji atapata mrembo atakayempenda mi moyoni najua hakuna mwanamke atakayeweza kukaa naye coz he cant treat a woman with care and love na ndio mbahili haswa.Sasa kinachomkalisha mwanamke na yeye wakati "mapenz shida pesa ndio kabisa"ninini?
Neither to the Alter nor to the Bank
 
True love bado ina exist na cha maana ni kumshukuru Mungu kakufungua macho mapema na umejua huyo msichana ni mtu wa aina gani.Ntakuona mpumbavu sana kama ukiamua kurudiana nae mana mwenzako yuko after hela na yaonesha wewe humpi za kutosha.Msichana wa kweli na anaekupenda kiukwel uwa anathamini utu wako na sio hela zako so better watch out ila nawasifu dada zetu mana wengine ni waigizaji wazuri
 
"...Mkipendana sana msioane..."
By Eiyer
 
Last edited by a moderator:
Duh!
Aisee watu wengine bhana,ashagundua unampenda sana na may be amekuambia hivo maana anajua utamwomba msamaha na hutamwacha.

Ukibaki naye still atakucheat tu maana anajua umedata.

Asijaribu kuomba msamaha,hakika atakuwa mtesi wako mpaka uwe chizi!
 
Sorry kwa hiyo unampendea nini hasa? Manake kati ya sifa mbaya sana kwa mwanamke ni umalaya. Unampenda mtu ambaye sio wako, how comes?
 
Mkuu... You deserve that treatment from her.. Mambo mengine mwachie Mungu..kwa nini unachunguza sana. Ukipata bint mwingine jaribu ku- build trust na siyo vitisho na upelelezi wa kijinga kufuatilia bint anaongea na nani... Hivi unadhani kabla yako alikuwa na nani? Mjenge msingi wa busara na uaminifu ili asirudi kule alikotoka ili awe wako peke yako na sio kutumia vitisho!

Respectively, I dont agree.
 
Back
Top Bottom