Message yake ndiyo inayoniumiza zaidi

Message yake ndiyo inayoniumiza zaidi

Fuata ushauri woote wa wachangia hapo juu. Kitu kikubwa ambacho unaona ni kizito ni KUMSAHAU, hapa wengi wanashindwa na matokeo yake wanafanya maamuzi ya ajabu.

Subiri nikufundishe kumsahau, jilazimishe kuyakumbuka yale mabaya yake tu, baada ya mda kidogo hadi jina lake utasahua

Hata namba yake itajifuta akilini
 
MshukuruMungu kwa kukuepusha na majanga kama sio kifo toka kwa huyo mwanamke,inawezekana kabisa kuwa hapo ulipo tayari umeumia hivyo nenda kacheck afya yako kabla ili kama umeumia ujipange vizuri na maisha yako.
Jifunze kuwa ingawa tuliambiwa tusamehe saba mara sabini lakini ujue kuwa katika mapenzi ukifumania tu hakuna haja ya kubembeleza sana zaidi ya kuachana tu maana dunia imekwishaharibika.
Pole sana na utapoa taratibu na kupata mwenza mwingine ambaye atakupa faraja na utamsahau huyo mwanamke.
 
Hakuna kitu ambacho sikipendi katika mapenzi kama kupotezeana muda.hapo ndugu yangu umeshapotezewa muda.chamsingi tulia nguvu zako zielekeze katika kutafuta maisha ili uje umumiize kwa mafanikio yako.
 
Mapenzi Nyoko jamani...hahahahh!mahaba nipige shoti ntetemeke mie...mleta mada nathubutu kusema we ni dhaifu sana ktk mahusiano,unaweza jaribu kuonja Sumu kwa kuionja?bila shaka mapenzi umejifunzia kwake!!!.mwambie Aksante na amini utamsahau na vidonda vitapona kama hajakupa HIV
 
Chagua A or B, kama unampenda na hiyo mesej imekuumiza chagua kutulia nae sasa unachovya huku na kule unategemea nini? Tena ni kosa linalojirudia rudia ina maana amejitahdi kukuvumilia lakini umeonekana hauvumiliki. fanya kazi ya kurudisha imani yake tena kwako na akikupa second chance tulia

hivi umemuelewa mtoa mada au?
 
Mwanaume, huyo girlfriend hakupendi. mpotezee na umtafute anaekujali mbona wapo wengi tu na waaminifu?
sipendi kuona unaumia wakati mwenzio anajiachia sasa hivi...
 
Tuwaseme

Nothing new here. Purely private business. Hayatuhusu. Peleka kule facebook kwa marafiki zako. Sio hapa JF.
 
Last edited by a moderator:
chagua kuumia au kuavhana naye.. she loves you ndiyo maana n kakwambia ukweli
 
Nothing new here. Purely private business. Hayatuhusu. Peleka kule facebook kwa marafiki zako. Sio hapa JF.
avatar5297_10.gif
ha ha a ha
 
Hakuna kitu ambacho sikipendi katika mapenzi kama kupotezeana muda.hapo ndugu yangu umeshapotezewa muda.chamsingi tulia nguvu zako zielekeze katika kutafuta maisha ili uje umumiize kwa mafanikio yako.

hajapotezewa muda kafundishwa kwa hiyo anapokuwa na mwingine hawezi kubehave the same
 
Pole sana.
Mwisho wa mapenzi mara nyingi mmoja huumia zaidi.
Ni kwa vile ulimpenda na ulimzoea. Ila kumbuka wapo pia walioumia kwako na wamekusahau maisha yanaenda.
Hapo mapenzi yameisha. Jitahidi kumfuta
INAWEZEKANA
Anza na kufuta namba na msg zake zote ili zisikufanye kutamani kumpigia.
Kama ni mnywaji pumzika maana pombe zinaweza kukufanya umuwaze zaidi.
 
Tuwaseme

Ss kinachokuumiza nn yy mwenyew katambua hawez kubak njia kuu kwa maradh yalioyaa shukuru sana kwa uwaz wake na kama uko tyr kufa kwa ukimwi endeleza hy cheni kaza moyo utasahau
 
Last edited by a moderator:
Kwenye simu ya mpenzi wangu nilishawai kukuta sms ya mapenzi aliyotumiwa na boy mwengine, .....Jana limetokea tena.....Alipomaliza nikaichukua simu yake kwa nguvu, kwenye inbox yake nikakuta mambo yale yale. Tuligombana sanaaa...

Mkuu... You deserve that treatment from her.. Mambo mengine mwachie Mungu..kwa nini unachunguza sana. Ukipata bint mwingine jaribu ku- build trust na siyo vitisho na upelelezi wa kijinga kufuatilia bint anaongea na nani... Hivi unadhani kabla yako alikuwa na nani? Mjenge msingi wa busara na uaminifu ili asirudi kule alikotoka ili awe wako peke yako na sio kutumia vitisho!
 
Tuligombana sanaaa.

Leo asubuhi kanitumia sms
'' thanks for everythn Michael, i appreciate ur a gud boy, wacha nisikusumbue tena achana na mm ni malaya,hautoniweza, live ur life, find any girl and marry but ukipenda nitaendelea kuwa rafik yako"

Dah hiyo sms imeniumiza sana kwa sababu bado nampenda hapa nahisi moyo unauma sana.


Kama huwezi kumwacha usimbgudhi, endelea kumsamehe, what matters je unampenda?
 
changanya mbariga, keshasepa songa mbele kiume...kama ni malaya na amekwambia muachane hata ukiumia haitasaidia
 
Back
Top Bottom