Message yake ndiyo inayoniumiza zaidi

Message yake ndiyo inayoniumiza zaidi

Umesema wa hisi moyo kuuma sababau unampenda...pole Sana wacha nikusaidie kitu.

Huyo si mkeo, ni girlfriend tu kama magirlfriends wengine.

Ukiendelea mng'ania hakika utakuwa na mwisho mbaya...usiamini yeye ndiye mzuri au umempenda yeye tu hapana wapo wengi wazuri zaidi.

Fasihi imeonya katika kitabu cha "Barua Ndefu kama Hii" fasihi imesame muoe MTU anaekupenda na si unaempenda atakutesa, dalili za mateso ushaziona kisa unampenda na ukithubuti mwoa 80% post hapa JF zitakuwa ni kilio chako.

Watu wenyekuvumilia mienendo ya wenziwao ni wanandoa tu watashuhudia hapa na ndio maana % kubwa ya HIV+ yapo kwao. Ila kwa girlfrnd piga chibi mara moja kisha pumzika kwa miezi sita kisha wavuta zigo au project nyingine. Akileta mauzauza wa piga chini tena na wajipa likizo ya miezi sita wavuta tena hii inakuwa msaada we nafsi yako.
 
Achana nae kabisaa afu mshukru maana kakwambia ukweli thn nenda ANGAZA kajihakikishie usalama kwanza
 
Back
Top Bottom