Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,488
- 100,883
Thanks....
Ukiupata ukamsikiliza utaona kuna ukweli mkubwa sana, most of us tunawachukulia Wapenzi wetu kama rejects. Matokeo yake ndio hayo sasa
Thanks....
Fuata ushauri woote wa wachangia hapo juu. Kitu kikubwa ambacho unaona ni kizito ni KUMSAHAU, hapa wengi wanashindwa na matokeo yake wanafanya maamuzi ya ajabu.
Subiri nikufundishe kumsahau, jilazimishe kuyakumbuka yale mabaya yake tu, baada ya mda kidogo hadi jina lake utasahua
Wana Jf salamu kwenu
Let me Go straight Kwenye simu ya mpenzi wangu nilishawai kukuta sms ya mapenzi aliyotumiwa na boy mwengine, nakumbuka tukio hilo lilitokea mwezi wa March mwaka huu,tuligombana sana, aliniomba msamaha, baadae nikamsamehe, tukaendelea.
Jana limetokea tena, wakati tumepumzika kuna simu alipigiwa namna alivyokuwa akiongea kwa kumung'unya mung'unya maneno kama hana meno mdomoni nikahisi kuna jambo nyuma ya pazia.
Alipomaliza nikaichukua simu yake kwa nguvu, kwenye inbox yake nikakuta mambo yale yale. Tuligombana sanaaa.
Leo asubuhi kanitumia sms
'' thanks for everythn Michael, i appreciate ur a gud boy, wacha nisikusumbue tena achana na mm ni malaya,hautoniweza, live ur life, find any girl and marry but ukipenda nitaendelea kuwa rafik yako"
Dah hiyo sms imeniumiza sana kwa sababu bado nampenda hapa nahisi moyo unauma sana.
Amefanya vizur kukwambia ukweli utaumia mwishowe utazoea
Ukiamua kumrudia yatakayokukuta utajuta kuzaliwa mwanaume
Malaya watamu sana acha ikuume tu.
Wana Jf salamu kwenu
Let me Go straight Kwenye simu ya mpenzi wangu nilishawai kukuta sms ya mapenzi aliyotumiwa na boy mwengine, nakumbuka tukio hilo lilitokea mwezi wa March mwaka huu,tuligombana sana, aliniomba msamaha, baadae nikamsamehe, tukaendelea.
Jana limetokea tena, wakati tumepumzika kuna simu alipigiwa namna alivyokuwa akiongea kwa kumung'unya mung'unya maneno kama hana meno mdomoni nikahisi kuna jambo nyuma ya pazia.
Alipomaliza nikaichukua simu yake kwa nguvu, kwenye inbox yake nikakuta mambo yale yale. Tuligombana sanaaa.
Leo asubuhi kanitumia sms
'' thanks for everythn Michael, i appreciate ur a gud boy, wacha nisikusumbue tena achana na mm ni malaya,hautoniweza, live ur life, find any girl and marry but ukipenda nitaendelea kuwa rafik yako"
Dah hiyo sms imeniumiza sana kwa sababu bado nampenda hapa nahisi moyo unauma sana.
Sasa kinachokuumiza ni nn?
Kama inakuuma kuachana naye kwann ulikuwa unamchunguza?
Haya ndio matatizo ya wanaume kama huna kifua usimfuatilie sana mkeo.
Umemchunguza bata umekuta anakinyesi cha binadam unashindwa kumla huku roho inakuuma.