Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,347
- 2,754
Google Messages imeanza kusambaza mabadiliko mapya ya namna ya kuangalia muda wa ujumbe uliyotuma au kutumiwa na kujibu ujumbe moja kwa moja kwa njia rahisi.
Kupitia update mpya ya Google messages version ya 20260910_03_RC02
Program ya Google Messages imefanya mabadiliko kadhaa mapya kwa watumiaji wake ๐.
Kupitia kutelezesha ujumbe kushoto unaweza kuona muda uliotumwa, au kutelezesha kulia kujibu ujumbe huo moja kwa moja. ๐๐ฑ
Sogeza picha kuona zaidi Usisahau kutu follow bongotech2โต5๐ฎ๐ง || Teknolojia ni Yetu sote ๐
Ni mabadiliko madogo, lakini yanafanya matumizi ya Messages kuwa rahisi na ya haraka zaidi! ๐ Umeipata update hii tayari tayari kwenye simu yako? Tuambie kwenye maoni! ๐