Message yake ndiyo inayoniumiza zaidi

Message yake ndiyo inayoniumiza zaidi

Ukitaka usiumie kwenye mapenzi wewe penda kidogo, acha kulilia eti kisa ulikuwa unampenda maana huyo demu hakufai kama vipi udanganye moyo nao utatulia
 
No no no though sijawahi kuambiwa kitu kama hicho but what I see ni opportunity kubwa sana kwa wewe. From now on treat her as a true friend of yours, utajifunza mengi sana toka kwake. Siungi hoja mkono kwamba umchukie, yaani umchukie mtu kwa kusema hivyo? I am sure huyo msichana either ulimtukana sana au ulimpiga huku ukimuita au kumtuhumu kuwa ni Malaya na ndio maana kaandika hivyo. Kamwe hakuna binadamu mwenye akili timamu anayeweza kudeclare ujinga huo only kama kuna mazingira kama hayo hapo juu.

Now, go back to her,.talk to her like a friend ila usigusie what happened na muendelee hivyo hivyo but remember to keep some distance.

Tatu, Ukipata mwanamke mwingine jaribu kum-treat vyema unajua akina mama na dada zetu wengi ni Attention seekers yaani kila muda anataka umjulie Hali, umuulize mahali alipo, umtumie meseji, mtaniane kidogo lakini wewe kila saa uko busy tuuuu na mkionana ndio hivyo unataka mchezo, halafu you're not talking anything about future aaaggh wapi!!! Utagongewa tu Mjomba. Relationship sio seriousness kila saa, hapana treat your girl as a friend.

Kuna wimbo wa Lucky Dube jamaa aligongewa mkewe na jamaa, Kisa jamaa kaoa halafu mwanamke anashinda jikoni. Wakati wanatengana yule mwanamke akamwambia NINAONDOKA BUT NEXT TIME TREAT YOUR WIFE..... ngoja nitatafuta niutupie hapa maana alichokiandika huyo Outgoing Shemeji kina shabihiana kabisa
 
Huyo mwanamke amekueleza ukweli,lakini nakushangaa wewe kushangaa kuumia,ulikuwa na mahusiano nae ulitegemea hilo liondoke hivi hivi tu?

Kosa utakalolifanya na litakugarimu maisha yako yote ni kwenda na kumuambia muendelee tu na kumuomba msamaha kama vile wewe ndio umefanya kosa,utakuja kujuta ...

Cha kufanya;Mwambie "nakushukuru kwa kuniambia kweli,nashukuru kwa muda ambao tumeshea pamoja na nakuombea maisha mema huko uendako" halafu mtumie,roho itakuuma lakini hiyo isikutishe,ni kawaida sana wakati unapofanya mambo sahihi hata sindano ya kutibu inauma pia lakini baadae utakuja kufurahia afya itakapotengemaa

Pole na usijali time will heal you!
wise advice ashindwe kutumia sasa
 
(Man) Hi honey! I'm home
(Woman) Oh yeah?
(Man) What's wrong?
(Woman) There's something I need to tell you
(Man) What's up?
(Woman) It's about our son
(Man) Is he alright?
(Woman) Patrick, he's not your real son
(Man) What?
(Woman) He's not your real son
(Man) What do you mean he's not my real son?
(Woman) I'm sorry
(Man) You're sorry? What is that mean?
(Woman) I didn't know how to tell you
(Man) I can't believe this
(Woman) I'm really sorry
(Man) Then why didn't you tell me before?
(Woman) I didn't know how to tell you
(Man) After all this years? This is crazy

I got lonely sometime
And you were gone and left me
Like you always do
You were never there when I needed some care
You were never there when I needed somebody to talk to
Somebody came and took your place

Oh baby, somebody took my place in your heart
I can say I'm used to it by now
'Cause it happens all the time
That is one test I always fail
But one thing my heart can't understand this
Who's gonna take the place of this boy in my heart
We used to play together, do everything together
But now what am I gonna say?

You've got no right to call me father
I've got no right to call you son
You got no right to talk to me
I've got no right to talk to you
Even though I try so hard to be strong
But it hurts inside

As I pack my bags to go now, baby
I thought I could share this with you
The next time you fall in love, treat your woman right
Remember that her place is not only in the kitchen
All she needs is tender loving care

You've got no right to call me father
I've got no right to call you son
You got no right to talk to me
I've got no right to talk to you
Even though I try so hard to be strong
But it hurts inside

You've got no right to call me father
I've got no right to call you son
You've got no right to call me father
I've got no right to call you son

You've got no right to call me father
I've got no right to call you son
You've got no right to talk to me
I've got no right to talk to you
 
Ukisoma vizuri huo wimbo wa Lucky Dube nilioutupia hapo juu ubeti wa kwanza utaona Mwanamke anachomwambia mwanamme :-? Kwamba hawa watu wanahitaji sana uwepo wetu lakini kama haupo na kama huoni na kufeel presence yake na.kumchukulia kama Mtumishi wako wa ndani hivi@):- madhara yake ndio hayo.....Jiulize how did you treat her? Usijiweke upande wa mtenda mema tu
 
Wana Jf salamu kwenu

Let me Go straight Kwenye simu ya mpenzi wangu nilishawai kukuta sms ya mapenzi aliyotumiwa na boy mwengine, nakumbuka tukio hilo lilitokea mwezi wa March mwaka huu,tuligombana sana, aliniomba msamaha, baadae nikamsamehe, tukaendelea.

Jana limetokea tena, wakati tumepumzika kuna simu alipigiwa namna alivyokuwa akiongea kwa kumung'unya mung'unya maneno kama hana meno mdomoni nikahisi kuna jambo nyuma ya pazia.

Alipomaliza nikaichukua simu yake kwa nguvu, kwenye inbox yake nikakuta mambo yale yale. Tuligombana sanaaa.


Leo asubuhi kanitumia sms
'' thanks for everythn Michael, i appreciate ur a gud boy, wacha nisikusumbue tena achana na mm ni malaya,hautoniweza, live ur life, find any girl and marry but ukipenda nitaendelea kuwa rafik yako"

Dah hiyo sms imeniumiza sana kwa sababu bado nampenda hapa nahisi moyo unauma sana.
ningekuwa mm ningemjibu asante maana umenipunguzia majukumu maana nilielemewa na mariam,asha ,tina ,getu,ashura,diana,ziada,mboni,jema,hilda ,silvia,bora tu umejitoa maana kila siku nilikuwa nabuni njia ya kupreted maupendo nikiwa na ww<hapo subiri uone bidada mchoziii huo
 
Eti Elli huo wimbo wa lucky dube unaitwaje ili niudownload maana nimeupenda
 
Last edited by a moderator:
Wana Jf salamu kwenu

Let me Go straight Kwenye simu ya mpenzi wangu nilishawai kukuta sms ya mapenzi aliyotumiwa na boy mwengine, nakumbuka tukio hilo lilitokea mwezi wa March mwaka huu,tuligombana sana, aliniomba msamaha, baadae nikamsamehe, tukaendelea.

Jana limetokea tena, wakati tumepumzika kuna simu alipigiwa namna alivyokuwa akiongea kwa kumung'unya mung'unya maneno kama hana meno mdomoni nikahisi kuna jambo nyuma ya pazia.

Alipomaliza nikaichukua simu yake kwa nguvu, kwenye inbox yake nikakuta mambo yale yale. Tuligombana sanaaa.

Leo asubuhi kanitumia sms
'' thanks for everythn Michael, i appreciate ur a gud boy, wacha nisikusumbue tena achana na mm ni malaya,hautoniweza, live ur life, find any girl and marry but ukipenda nitaendelea kuwa rafik yako"

Dah hiyo sms imeniumiza sana kwa sababu bado nampenda hapa nahisi moyo unauma sana.

Labda alisoma haya maneno mahala fulani Mpwa.
 

Attachments

  • 1415185609735.jpg
    1415185609735.jpg
    18.7 KB · Views: 140
mkuu nakushauri nenda kapime ngoma kwanza alafu ndio uje uombe ushauri............
 
Kakupa nafasi, tafuta wako weka ndani, yeye yuko tayari kuwa mchepuko (kinachokuumiza nini sasa hapo)!!!
 
Acha kulilia mbunye mtoto wa kiume komaa tafuta mkwanja.....eboh!!!!
 
kwakua hutaki kuukubali ukweli naomba namba yake nikusuluhishe nae yaishe hatakua malaya tena
 
Back
Top Bottom