Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

huu ni uzi wa zaman sana, sjui kwann watu wanapenda kurudua rudia mambo
 
Pole sana ila usikurupuke kutoa uamuzi.Fanya utafiti wa taratibu unaweza kupata majibu tofauti kabisa.
 
pole ndugu yangu haya ndo madhara ya maendeleo, usinyamaze mbane vilivyo akueleze, ikibidi tumia tena simu kumjibu huyo coleman ukijifanya ndo mkeo, utajua mengi zaidi, unaweza uliza ni lini nilkumake crazy zaidi?
Hiyo ndiyo njia nzuri zaidi.
 
Kwani ni kipimo gani cha kuridhika katika hayo mambo? Kw vile unataka anaejiweza sana hata huyo utamuacha siku ukikutana na mtambo mwingine. Tuliza oestrogen zako
 
Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la PPF tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

Basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.
Hahahaaa
 
Back
Top Bottom