Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

Sisi ambao hatujaoa na ambao wameoa ...kuna matatzo makubwa kwenye ndoa hasa usaliti pande zote zote ...chamuhimu kuacha kuoa s suluhisho ila tukitaka wake wema au waume, wema bas tuanze kwanza ss
 
Usimwambie kitu wewe subiri usiku mkiingia kulala mpige mangumi kabisa ili hasira yako ishuke
 
Nikikuta hii mm atakuta mabegi yake mlangoni, huwa sipendi kulea kunguni maana usiku wananila. Kuna chicks bado hata hawajavaa sidiria they are dying for me halafu wewe dude lishapanuka sio tam tena unaniletea maigizo
 
Mm najisemeagaa ntaoa ntaacha hata mara mia siwez acha kuishi bila mwanamke ilaa siwez ishi na mwanamke msaliti afanye yoteeee yakuniidhi nitavumilia ilaa sio la kugawa njee akiwa na mm .ushaur piga chini mkuu ukiprove na oa mwingine maisha yaendelee sabb huwez sahau hiyo msg milele sabb utaendelea kutumia organ yake huku ukikumbuka na pia unamashaka kama unampa kam jmaa .kumbuka usaliti wa ndoa kwa mwanamke hauvumiliki labda kama kakuoa
 
Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la PPF tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

Basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.
Kwani wewe ulipo amua kuoa ukujua kuwa wanawake sikuizi nguvu zao za kike zimeongezeka x10 hivyo chini kwao kunawasha hatari jua tu mwanamke anakula wanaume zaidi ya 10 Kwa mwaka ili atosheke
 
Kila mwezi mtu mmoja
 
Kila mwezi mtu mmoja
Kwa mwezi moja dume mbili, kwasababu asilimia kubwa ya wanaume siku hizi hawana mda wa kupiga kambi, wanapiga mzigo na kusepa ili wasipigwe mizinga. Ila km jike linakipaji cha kutoa mzigo vizuri, bas dume anaweza kupiga kambi ya temporary. Kwakawaida wanawake watam huwa sio wapiga mizinga sana.
 
Kwani wewe ulipo amua kuoa ukujua kuwa wanawake sikuizi nguvu zao za kike zimeongezeka x10 hivyo chini kwao kunawasha hatari jua tu mwanamke anakula wanaume zaidi ya 10 Kwa mwaka ili atosheke

Hats mimi hilo sijalitambua mkuu
Hebu fafanua
 
Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la PPF tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

Basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.
Piga hii namba mwambie mke wangu ananisaliti nahitaji nimfumanie. Baada ya hapo mpe hela atakayokwambia. Ni mama huwa hana maneno mengi. Mpe chake then subiri majibu lazima watakusalimia shkamoo. Na hela mgoni wako lazima akurudishie maana akichelewa wote 2 watakufa 0686 242 483
 
Duh....... kweli Mbombo Nunu mko KIZAZI zaidi
 
Piga hii namba mwambie mke wangu ananisaliti nahitaji nimfumanie. Baada ya hapo mpe hela atakayokwambia. Ni mama huwa hana maneno mengi. Mpe chake then subiri majibu lazima watakusalimia shkamoo. Na hela mgoni wako lazima akurudishie maana akichelewa wote 2 watakufa 0686 242 483
Kwa hiyo huyo maza huitaji kumuona mambo yanamalizwa kwa simu tu na dawa inatumwa kwa Bluetooth?
 
Back
Top Bottom