Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

Kwa hiyo huyo maza huitaji kumuona mambo yanamalizwa kwa simu tu na dawa inatumwa kwa Bluetooth?
Atakupa maelekezo we mpigie. Ndo yule alokamata wezi wa gari kwa kuwazungushia nyoka, na kuna jamaa babatiti alinasia kwenye K ndo nlipopata namba yake
 
Mkuu ki ukweli mwanzoni mimi nilijua sisi vijana tulio katika hatua ya uchumba ndio tunapitia mambo magumu zaidi kuliko walioko kwenye ndoa. Nilidhani mtu akishashinda vikwazo vigumu wakati wa uchumba ndio mwanzo wa furaha ktk ndoa kumbe ndivyo sivyo.
Aisee imefika pahara nikakata tamaa ya kuchumbia tena nakuamua kuwa mimi kama mimi ila nafsi inanikumbusha ule mstari ulioko kwenye bible wa kuijaza dunia hapo ndipo moyo unanyenyuka tena.
Kumbe ninayoyapitia kuna mtu anayapitia zaidi.
POLE SANA MKUU. Usiogope kusimama tena kama baba wa familia
 
"mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

Mbona haya maneno ni ya kawaida tu. Hayaonyesha kudukuliwa SIKU HIZI KUNA WATU WANACHUA MISULI.
 
Tunasubiri STORY yako kwenye part II au episode II
 
Kumbe ni uzi wa mwaka 2010 wakati huo bado Dr. Slaa alikuwa keki CHADEMA.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hakuna kitu kiaturudisha Nyuma kimawazo hata Kimaendeleo kama hawa Wadudu Hasa Ukimuoa Ukute tayari Kesha tolewa Bikira hesabu hasara tu! Maaana hujui walikuwa wanamfanya nini? Huko na wewe umfanyie aridhike yaani sasa hivi kuoa au kuto kuoa vyote sawa tu! Unaoa upate Faraja unakutana na ukakasi karaha yaani nyie oeni tu!
 
Back
Top Bottom