Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la PPF tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

Basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.
Kwani mkuu wewe huchepuki? Kama huchepuki una haki ya kumaindi.
 
Kwani mkuu wewe huchepuki? Kama huchepuki una haki ya kumaindi.
Hivi huzijui sifa zangu ehhh
JF-Expert Member

[HASHTAG]#1Feb[/HASHTAG] 20, 2018

http://yt2converter.com/yt-dd.php?i...4d2f3253aa7&t=692&name=All-4-One - These Arms



Mimi kuna siku nakuwa boyfriend, siku nyingine mchumba, siku nyingine mume na wakati mwingine nakuwa baba mwenye nyumba.



Siku nikiwa boyfriend, namtoa bibie out just the two of us. Tunapata candle light dinner, tunacheza na kukimbizana, namwimbia zile nyimbo zetu tulizokuwa tunaandika kwenye counter books, nasimuliwa hadithi kisha namrudisha home.



Siku nikijisikia kuwa mchumba, ninamchukua naenda nae kwa wazazi naonyesha tabia zote njema. Nawasaidia wazazi kazi za nyumbani, za shamba na Kila kitu. Naongoza ibada za usiku na kusoma vitabu vitakatifu. Yaani naonyesha tabia zote njema hadi atamani nimchumbie kwa Mara ya pili. Wazazi wanaweza kuwa wangu au wake.



Siku nikiamua kuwa mume, yaani nakuwa kama yule mume aliyetoka kuoa jana na leo yuko honeymoon. Nakodi hotel nje ya mji ninazima simu yangu kisha tunajifungia kwa siku tatu na baada ya hapo tunarudi nyumbani ambako naenda kuwa baba mwenye nyumba.



Nikiwa baba mwenye nyumba, namsaidia mke wangu kazi za jikoni na za nyumbani. Nawasaidia watoto homework, nawasimulia bed time stories na kuwalaza. Nahudumia mifugo, bustani etc.



Huyo ndio mimi yule yule boyfriend, mchumba, mume na baba mwenye nyumba.
 
BORA mwanamke. Anifanyie chochote ila asini cheat. Aisee maamuz yang nikumuacha. I'm so sorry...
 
Una roho ngumu faza.mi nisingesubiri ni makofi na mateke ningemchapa hapohapo mbele ya rafk zake na taraka juu
 
Make sure hasira isihusike kwenye maamuzi juu ya hilo jambo ikiwezekana subir mpaka hasira itulie uongee nae kistarabu huenda hata hana kosa hapo may be sms ilikosewa
 
Amua kama mwanaume. Acha kunung'unika. Samehe au mwache. Tafakari. Chukua hatua
 
Back
Top Bottom