miwani ya maisha
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,733
- 2,516
mkuu kwani wewe ndio ulimbikiri huyu mkeo?
tafakari kabla ya kuhamua !
tafakari kabla ya kuhamua !
Umeshindwa ku- "roll it babe" ?mtu angu bujibuji. Na msg nayo unatubania hujataka kutupa "mlishonyuma".Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la PPF tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"
Basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.
Kwani ukimuoa aliye bikira hawezi kuchepuka baadaye?mkuu kwani wewe ndio ulimbikiri huyu mkeo?
tafakari kabla ya kuhamua !
Duh COLEMAN ameshakolea pasipo kwake
Kwahiyo hata usiku huu hutomgegeda? Pole sana. Inaumaasante kwa kuningezea point
machoziKwahiyo hata usiku huu hutomgegeda? Pole sana. Inauma
machozi
Chai
Mforwadie hiyo meseji halafu kaa kimya uoneMchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la PPF tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"
Basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.
thread Ina mwaka wa kumi sasaMforwadie hiyo meseji halafu kaa kimya uone
thread Ina mwaka wa kumi sasa
Bujibuji leta mrejesho