Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la PPF tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

Basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.
Mrejesho mkuu,
 
binadamu ni vigumu mumdhibiti! ila neno moja linahitajika ili ajue kuwa amekosea na amegundulika!
 
usione mtu kaingia kwenye ushirikina mambo yenyewe ndo kama hayo...!!!
 
Mm namjua Ronnie Coleman bodybuilder, labda jamaa atakuwa na misuli ya kufa mtu ...ila pole sana aisee kama ni kweli.
0d1943d9900fa95570d27b30e6dda9c4.jpg
 
teh teh mkuu we kweli kiboko,yaani mamaa kakiri kweli tena kagonga mara tatu!du aisee ukamwambia mungu hapendi,yaani mbavu zinauma kwa kucheka heri yangu mimi nilighairi kuoa katikati ya safari,na sasa ndio kabsaa ntakaa hivihivi lol.

Kuoa kunataka moyo sana, wengine wenye roho nyepesi kama mm naweza kuishia jela.
 
Pole sana mkuu,inawezekana huyo Coleman anafahamiana na wife wako,na hiyo sms alikuwa anamtext girlfriend wake akakosea akaisend kwa mkeo kimakosa,fanya uchunguzi wa kina kabla ya kumhukumu mkeo!!!

Naona unajaribu kutafuta excuse yoyote ya kuhalalisha uchangudoa kwenye ndoa.
 
Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la PPF tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

Basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.
usikute ni sms za utani maofisini au mtu anamtania na ndo maana hakudelete maana ya ukwelikweli angeifuta au siyo yake.Me ishawahi nitokea zamani hiyo nimetumiwa sms ya mahabati nikajua aliyenitumia ni mhusika ametumia simu ya mtu,sikudelete mwenyewe akaikuta ananiuliza nani kakutumia nikamjibu nilijua ni wewe.
 
Utani kwenye mbunye ya mke wa mtu??
 
Pole Sana'a mkuu

Swali langu mke wako.anafahamu uwepo wako

Au anatumia jf
 
Utani kwenye mbunye ya mke wa mtu??
Kama anafanyakazi ulifikiri hataniwi?pia sms inaweza kuwa imekosea njia sio yake,hata kama hafanyi kazi si ana marafiki mchanganyiko?relax mzee baba utakuja kufa na pressure wakati mkeo hajaguswa na mtu.
 
halafu mbona nyie wanaume mnataka kucheat ila wake zenu hamtaki wafanye mfanyavyo?shida ni nini?hamjui MTENDA HUTENDWAA?
 
Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la PPF tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

Basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.

Wewe ni chizi... kwanini upekue simu ya mke wako..... Kaa kimya tu maana umetaka Shida mwenyewe... unawajua Wanawake wa siku hizi? koma
 
Back
Top Bottom