Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

hahahaaaaa. kusaliti tusaliti sisi tukisalitiwa kesi. hivi unajua kuwa siku hizi haki ni sawa? japo umesema hutaki ushauri ila cha kukusaidia mimi kama dume mwenzio ni; wewe piga moyo konde,fanya maisha kwa faida ya watoto wenu basi.
 
Kaka umesema hutaki ushauri ila mi ntakupa ushauri, juu yako kuuchukua au la.

UCHUNGUZI: Hapa ushaharibu kwa kuweka hii mada hapa, ingawa lengo lilikuwa kuondoa hasira, manake uwezekano ni mkubwa habari zitawafikia watuhumiwa,unless ulikuwa smart enough kwa kuandika jina la uongo,yani coleman liwe jina umelitunga wewe na kubadili mazingira kdogo ya tukio

SULUHISHO : Ukijiridhisha kwa njia unazojua mwenyewe kuwa ni kweli mkeo amefanya hicho kitu MUACHE MKEO mara moja, utaishi kwa amani zaidi na furaha.usijidanganye na hayo mawazo eti forgive and forget, kuna mambo wanaume tunaweza kuforgive na kuforget, lakini sio hilo. That's the most practical solution
Mwache mwenzio amsamehe mke wake huwezjua kampenda kiac gan mwanamke kuchepuka cyo kwamba hampend Mme wake anaweza akachepuka na akawa anampenda Mme Wake tena sana ila kuna 7bu inayomfanya kuchepuka, ni swala la kukaa chin na mke wake wayaonge wajue shda iko wap den wasameane ampe last chance endapo atarudia tena xaxa hapo hata akimuacha cyo dhambi
 
Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la PPF tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

Basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.
Kaka nakushaur ucje ukalogwa ukamuacha mke wako kaen chin mmalize tofaut zenu ujue shda iko wap kwann anachepuka den msamehe mpe last chance unaweza ukamuacha mkeo ukapata mwanamke hatar zaid ya huyo ukajutia maisha yako yote, pengne mkeo anakupenda tena sana na uckute anaumia anavyokusalit ila hana jinsi kuna 7bu inamfanya awe hvyo mbane atakuambia, nshakuwa na mwanaume hajiwez ktandan cjui ni uvivu au ugonjwa anajua Mungu nilimpenda sana yule kaka ila alikuwa ananiandaa vzur akianza tu kuingza haziish sekunde kakojoa au mtalimbo unalala nilikuwa naumia naenda choon nalia we mpak nachoka ila kumuacha nlikuwa cwez niliangaika naye kumtafutia Dawa ikashndkana nikaomba ushaur kwa watu nikashauriwa niendelee kumpenda ila nitafute wa kunirizisha nikapata mwanaume anayenirzisha ila nikimkumbuka mpenz Wang naumia sana kwann namsalit Mwisho wa cku hali ilikuwa mbaya nikaona bora nimwache nitulie na anayenirizisha ndoniko naye mpaka Leo na ndoa mwez wa 12 Mungu akijaalia.
 
Hii bandiko linaonyesha kuwa siyo wewe uliyepatwa na hilo jambo - Ni story ya kutunga a.k.a kusadikika.

UJUMBE: kwa wale wenye tabia ya kuchonokoa simu za wenzi wao watambue kuwa watakutana na meseji nzuri zaidi ya hiyo!
Ww hujaoa naona
 
Iam trying to figure out the situation, but i cant easily digest it...Ni mwizi gani huyu atakayeingiza sms ya namna hiyo kwa mke wa mtu!..";mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe"....Sms ni ushahidi mzuri sana kimahakama....Huyo mwanamke nae si wako kama anakaa kimya na sms ya namna hiyo bila kuisalimisha kwako...this is living with a devil..icant believe!..Ni mkeo au girlfriend?...embu kuwa serious basi Bujibuji...Ningekuwa Dar ningekutafuta unionyeshe mwanamke wa aina hiyo anafananaje...gooosh!...Yani it pains me more than 2u!...Jesus!
Pakajimmy Salaam, Za masiku tele, Naomba unisaidie hivi kesi ya ugoni inaamuliwa mahakamani? Au una maana mahakama ipi?
 
Back
Top Bottom