Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

Hii bandiko linaonyesha kuwa siyo wewe uliyepatwa na hilo jambo - Ni story ya kutunga a.k.a kusadikika.

UJUMBE: kwa wale wenye tabia ya kuchonokoa simu za wenzi wao watambue kuwa watakutana na meseji nzuri zaidi ya hiyo!
Mm nitachokonoa simu mpaka kihama. Hata yeye anajua. Na anajua timbwili lake siku nitaokuta madudu humo.
 
Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la PPF tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

Basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.
Pole sana broo! Hawa kunguru hawafugiki
 
Siku hizi mbona mada hizi zimekua gumzo humu au sababu vyuma vimekaza?
Na kila anaekuja na uzi wa hivi utashangaa ni wa Dar.
 
Unajua kuchagua boss!
Mtoto anapagawisha mpaka majirani kitandani....
 
MKUU OMBEA TU AWE HAJALIWA UPANDE WA PILI, MAANA HUU MCHEZO WAKE ZA WATU WANASHAWISHKA MNO NJE YA NDOA, ILA MUME HAWEZ MPA NA ANAJUA HAWEZ OMBA.
 
pole ndugu yangu haya ndo madhara ya maendeleo, usinyamaze mbane vilivyo akueleze, ikibidi tumia tena simu kumjibu huyo coleman ukijifanya ndo mkeo, utajua mengi zaidi, unaweza uliza ni lini nilkumake crazy zaidi?

Mpenzi cole ni siku ileeeeeeeeee ulipoooooo...............tigo! ( Mkuu hapo lazima ufe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeyataka mwenyewe yakubali! That's a good lesson Kwa wale tunaopenda kuchokonoa simu za wenza wetu. Kama unajua inauma kuyaona uliyoyaona ulisukumwa na nini keenda sehemu ya message? Pili, muktadha wa message unaweza kuleta maana tofauti na uliyonayo. Making somebody crazy in bed si lazima mkeo awe amesex na huyo coleman. It might mean: kila akimuwazia popote alipo kitandani anajisikia vibaya. So don't allow emotions to control you!
 
Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la PPF tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

Basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.
Hii story wape akina Mkwere wa mizengwe waicheze comedy, nadhani itapendeza.
 
hakika hii ishu imenitokea mimi binafsi na si mtu mwingine mchana huu wa leo
dah pole mzee mwenzangu, ulienda pale karibu na Casino ya wachina sio? ... ndo maana mimi nikaamua kuludi na wife shamba kulima nkawaachia DSM yenu! mjini wajanja wengi sana
 
Hata shamba wajanja wengi siku hizi mkuu
huku wanaogopa uchawi... nipo iringa vijijini sehem inaitwa pawaga.....vijiji kama luganga, kiwele, kilendu nk vina wachawi balaa la pawaga wanaliogopa sasa huyo mjanja bhas awe mjanja haswaaah .. huku mali ya mtu inaogopwa kuliko kifo
 
Hakuna uchawi mkuu
Hiyo ni imani tu
 
Back
Top Bottom