Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

Kama hutaki msaada wa mawazo basi tayari umeshapitisha hukumu. Basi tupe hints kuhusu hiyo hukumu. Vinginevyo kutua yaliyo moyoni ni pamoja na kutafuta ushauri + sympathy.

Binafasi nimeguswa sana na pole kwa yaliyo kukuta. Ukiweza kulimaliza hili basi huenda hutakuwa na mtihani mwingine mkubwa maishani. Time and locations are key to healing. Jipe muda na ikiwezekana chukua likizo ukae mahali tofauti ili uweze kulitafakari hili jambo!
Yaani achukue likizo kupata jibu la jambo hili haina maana kwani mpaka hapo jambo hili ameweza kulivumilia hadi sasa basi alimalize kistaarabu tu. Kamchezo haka hataki hasira leo kwa mkewe kumbuka kesho yaweza kuwa yake ikizingatiwa wamekutana wakiwa tayari hakuna aliyefundisha mwenzie
 
Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la PPF tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

Basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.
Duu! Ni hatari sana
 
Swahiba wako Coleman bado anapenyeza dushe?
 
Be careful enough and be clever enough huenda ni mbaya fulan ameamua kuhalibu ndoa.

Ongeza skills za kujiridhisha. Ikitokea ni kweli piga chini. Mkeo si mama yako. Fedheha hiyo mbaya mno.
 
Pole sana kakangu,ila fikiri kabla ya kutenda.najua umeumia sana na umeonyesha busura sana,du pole sana
 
Pole sana! Usimwambie kitu! Mfuatilie hadi umfume live na ajue umemfuma. Afu tulia tu. Silence is the best medicine.
 
Back
Top Bottom