Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

Vitu vingine ukivisikia vinawatokea watu mwili husisimuka na kujisikia kama vile inakutokea wewe.....! Pole sana ndugu, lakini let us note that, experience is no only being build by the length of time of staying in a situation, but also by challenges you face, the way you handle and performances you have attained....!
 
Wanaume jifunzeni kuendana na tech, kagua sm ya mkeo, wanao kama wanazo ni sawa tu na mwalimu anavokagua notes za mwanafunzi, sasa jifanyeni hamjali mtakuja kuvuna mabua.
Sasa we umeona janga badala ya kumind unajifanya unaficha ndo nyie mnaojinyonga, mmind mchape vibao aseme ukweli afu punguzeni kuendekeza kisasa eti alikua anabadilishana mawazo na washikaji ndo anapigwa sound apo. Seeeenziii
 
Wanaume jifunzeni kuendana na tech, kagua sm ya mkeo, wanao kama wanazo ni sawa tu na mwalimu anavokagua notes za mwanafunzi, sasa jifanyeni hamjali mtakuja kuvuna mabua.
Sasa we umeona janga badala ya kumind unajifanya unaficha ndo nyie mnaojinyonga, mmind mchape vibao aseme ukweli afu punguzeni kuendekeza kisasa eti alikua anabadilishana mawazo na washikaji ndo anapigwa sound apo. Seeeenziii
Maneno yako na ujumbe wako ni mzito lakini ndio ukweli wenyewe
 
Duh inauma lkn ulichokikuta ni ukweli kaka kwa dume mwenzio.
 
i dont care kama ametunga ama la... ninachweza kumwambia ni kuwa kama aliandika hapa kutoa hasira its ok... HE can even cry... na la zaidi DISTANCE its a best medicine aende mbali na mazingira yaliyomzoea (namaanisha kuanzia majrani nyumbani, kazini na chochote kile ambacho amezoea kukiona na kukifanya) kwa mda akae huko alerax then akirudi wakae waongeee wakati temper imeshuka ...

+++++++++++++++++
SOMETIMES DISTANCE IS THE BEST MEDICINE....but Know your Direction
akienda mbali si ndo atakuta na mimba tayari wajama!!
 
Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la PPF tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

Basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.

ukisikia ndoa ndoano ndiyo hiyo, ukichinguza sana kuku utashindwa kumla
 
mi nashauri umsamehe kwasababu hata wewe ni mchepukaji mzuri tu. ila mtoe out sehem nzuuuuri alafu muoneshe love babukubwa then mkanye kwa lugha ya kawaida kua asirudie. nna uhakika hatarudia mkuu. pole sana
 
Achana na maumivu ya kuchapiwa hasa kwa uliyempenda, no one can tell
 
Sikupi pole Mzee kwasababu inawezekana hiyo msg iliingia kwa makosa haikuwa kwa ajili ya Mkeo. Binafsi nilishawahi kutumiwa msg na msichana kwenye simu yangu kwa makosa na ilikuwa ina ujumbe mzito sana kama ingetokea Mke wangu kuiona ingekuwa balaa kenye ndoa yangu mpaka ukoo mzima wangeipata. MSG ilikuwa inasema "JANA UMENIFANYA KOTE HALAFU HELA YENYEWE KUMBE HUNA, USIPONIPA HELA YANGU LEO NAKUJA DAI MBELE YA MKEO".
wewe izo unaongea ni possibility za 3% huyu jama kuna uwezekano mkubwa katendwa na mkewe...
 
Back
Top Bottom